maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 935
- 2,096
Kwa Mkapa waarabu watafunga goli moja tu Simba watapambana na kurudisha na hivyo kufa kiume kwa kupigwa goli la ugenini!๐๐, hii timu ina matizo sana... Haichelewi kupigwa 3 mtungi kwa mkapa.
Kwahyo mashabiki wa yanga siku hyo mtawazuia wasiingie uwanjani au unajitoa ufahamu?Kwani si unaona kwa presha ile ya mashabiki na wachezaji wameweza kumantain kucheza na kutokutoka kwny focus huoni watakua na hari kubwa wakiwa na wao kwny uwanja wa nyumbani?
Binafsi, naiona sare ya 1 - 1 kwa mkapa, hahahaha........Leo simba wamecheza chini ya kiwango sana, mashabiki wengi wanasema sababu ni heshima ya ugenini ila sikubaliani na hilo.
Hawa wajukuu wa Ghaddafi wapo vizuri sana, kwa kiwango hichi cha simba sitoshangaa wakifungwa hapa nyumbani.
Soma Pia:
NB: SIMBA SC MSILIAIBISHE TAIFA.
Hawa simba hawana uwezo wa kupata goli kwa Al ahly tripoli.Binafsi, naiona sare ya 1 - 1 kwa mkapa, hahahaha........
hata kwa ndumba simba ashindi.kama kuna uwanja unatumika kwa majini ntaifa kwa kamati ile simba anashinda.2-0/3-1
nikokwawakala
Jamaa wanakuja kuwafungia hapa wamekoswakoswa Goli manusula liingieKwa nini wasifungwe huko ugenini kabisa?
Swali zuri sana.Kwahyo mashabiki wa yanga siku hyo mtawazuia wasiingie uwanjani au unajitoa ufahamu?
Wewe kweli umeangalia mpira Simba ni aibu tupuHawa simba hawana uwezo wa kupata goli kwa Al ahly tripoli.
Wamenyimwa penalty ya ushindi, kwa pira lile kwangu ni ushindi na watathibitisha hilo wakija.Kwa nini usiwape nafasi ya kushinda kwao?
Upo sahihi Simba ajiandae tu kubanduliwa Goli kadhaa pale kwa Nkapahata kwa ndumba simba ashindi.
Jamaa wanaucheza mpira finishing tu ndio walikua wanakosa Ila leo Simba angerudi na kikapu kimejaa Magoli wangefungwa wasiaminiWamenyimwa penalty ya ushindi, kwa pira lile kwangu ni ushindi na watathibitisha hilo wakija.
Wataroga sana ila kwa uchezaji wao hawawezi kufika popote.Upo sahihi Simba ajiandae tu kubanduliwa Goli kadhaa pale kwa Nkapa
Hata wakiroga kwa Nkapa wanakufa ni aibuWataroga sana ila kwa uchezaji wao hawawezi kufika popote.
Mashabiki oya oya watakataa ila simba katafutwa sana sioni kikosi cha kuwafunga walibya.Jamaa wanaucheza mpira finishing tu ndio walikua wanakosa Ila leo Simba angerudi na kikapu kimejaa Magoli wangefungwa wasiamini
Unathubutu kusema damu zinachemka kwa kukimbizwa kule huogopi? Msiukimbie huu uzi baada ya second leg.Yani nyie ndo wakusema hayo?? ๐๐kweli mmepagawa aisee...timu mliyoiona ya wazee unalinganisha na timu hii yenye kasi kama vimondo..damu zinachemka..ni mtu mwenye wivu tuu ndo atakasema haya maneno...
Dua la kuku Shirikisho? Jifunzeni kwa wakubwa DAR YOUNG AFRICANSDua La Kuku
Ng'ara Simba Ng'ara
๐๐, Aise.Kwa Mkapa waarabu watafunga goli moja tu Simba watapambana na kurudisha na hivyo kufa kiume kwa kupigwa goli la ugenini!