Kwa Simba SC hii kama taifa tujiandae kwa aibu

Kwa Simba SC hii kama taifa tujiandae kwa aibu

Upo Sahihi Kabisa Mkuu Simba Imebebwa na Camara Leo tulikuwa hatuna munkari kabisa tunapoteza mipira kirahisi Halafu ule uhuni wa mashabiki wao tuufanye zaidi pale taifa Ubaya Ubwela Sina Mengi Mimi Mnazi Wa Mnyama Mkali Kutokea Pande Za Kyala Marangu SIMBA NGUVU MOJA
 
Kwani si unaona kwa presha ile ya mashabiki na wachezaji wameweza kumantain kucheza na kutokutoka kwny focus huoni watakua na hari kubwa wakiwa na wao kwny uwanja wa nyumbani?
Kwahyo mashabiki wa yanga siku hyo mtawazuia wasiingie uwanjani au unajitoa ufahamu?
 
Leo simba wamecheza chini ya kiwango sana, mashabiki wengi wanasema sababu ni heshima ya ugenini ila sikubaliani na hilo.

Hawa wajukuu wa Ghaddafi wapo vizuri sana, kwa kiwango hichi cha simba sitoshangaa wakifungwa hapa nyumbani.

Soma Pia:
NB: SIMBA SC MSILIAIBISHE TAIFA.
Binafsi, naiona sare ya 1 - 1 kwa mkapa, hahahaha........
 
kama kuna uwanja unatumika kwa majini ntaifa kwa kamati ile simba anashinda.2-0/3-1
nikokwawakala
 
Jamaa wanaucheza mpira finishing tu ndio walikua wanakosa Ila leo Simba angerudi na kikapu kimejaa Magoli wangefungwa wasiamini
Mashabiki oya oya watakataa ila simba katafutwa sana sioni kikosi cha kuwafunga walibya.
 
Yani nyie ndo wakusema hayo?? 😀😀kweli mmepagawa aisee...timu mliyoiona ya wazee unalinganisha na timu hii yenye kasi kama vimondo..damu zinachemka..ni mtu mwenye wivu tuu ndo atakasema haya maneno...
Unathubutu kusema damu zinachemka kwa kukimbizwa kule huogopi? Msiukimbie huu uzi baada ya second leg.
 
Back
Top Bottom