Kwa sisi wanaume tuliooa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?

Hakuna aisee nlimpa mtaji at last akaacha ghafla kufanya biashara yupo home tu napambana mwnyw ale anywe na mtoto wng. Kodi nlipe nk. Sina namna ila huwa ninajiuliza sku iktokea nikatangulia ataishje na mtoto wng.
 
Mkuu shkamoo
 
Umesema sahihi Mkuu

Unapofika kuanzia miaka 45 ndiyo utajua kwamba Utulivu wa familia ni muhimu zaidi ya kuzagamuana...
 
Hapana atatangulia yeye,
Kwanin uwaze ivyo?

NImetania tu.
 
Boss jifunze kuandika basi unaandika kama mtoto wa darasa la kwanza aah, haipendezi namna hii.
 
We nae hujielewi. Hana msaada wowote. Gharama unazotumia kupewa kitumbua na mkeo huyo, kwingine utagonga mara 5 na zaidi.
Bora ungeuliza hasara unazopata kuishi nae.
 
Mke wangu ananisaidia kulea watoto
 
R.I.P Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…