Kwa style ya Uongozi wa Lissu, Heche na Mnyika, Mapandikizi CHADEMA wataaibika na kufeli vibaya sana

Nje ya mbeleko ya vyombo vya dola haina tofauti yoyote na TLP.
Kwanini CCM inabebwa na Vyombo vya Dola? Kwanini hivyo Vyombo vya Dola visiibebe Chadema kama kweli kinajali maslahi ya Watanzania?
 
Wote. Na watatoka wote, si John Mrema, Si Yeriko Nyerere, Si Mchome, Si Malisa na wengineo wengi sana.

Mungu ana namna yake ya kufanya makuu yake.
Huyo Yeriko huyo wakati wa Magu hakuguswa,...
 
Kumbe Wafuasi wa Mbowe ni mapandikizi? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DH3nBbmCRAW/?igsh=MW82MmlnZ2Vwbjd0aQ==
 
Kwanini CCM inabebwa na Vyombo vya Dola? Kwanini hivyo Vyombo vya Dola visiibebe Chadema kama kweli kinajali maslahi ya Watanzania?
Katiba ya chama kimoja inayompa mwennyekiti wa ccm kuwa muajiri mkuu na mgawa vyeo, ndio inayofanya ccm ifaidike na vyombo vya dola. Maslahi ya viongozi binafsi sio maslahi ya wananchi.
 
Katiba ya chama kimoja inayompa mwennyekiti wa ccm kuwa muajiri mkuu na mgawa vyeo, ndio inayofanya ccm ifaidike na vyombo vya dola. Maslahi ya viongozi binafsi sio maslahi ya wananchi.
Ahahahahaha! Hilo tu?
 
Wewe sema unavyoweza, lakini jua tu CCM bado ipo sana madarakani. Hakuna chama wala mtu kwa sasa hivi anaweza kuiondoa CCM madarakani.
Kama Mungu aishivyo hutakufa hadi ukiona Upinzani ukiongoza Tanzania
 
Wakitulia tunawaasa wakasome kitabu cha kutoka sura ya 7 mpaka 12 zote kwapamoja, hii safari yetu ya ukombozi ni kama wana wa Israel walipokuwa utumwani Misry chini ya farao, sasa watapigwa mapigo 10 la kwanza ndio lile TAL na JWH kushinda uchaguzi katika mazingira magumu mengine yataendelea kwakua huu ni mpango wa Mungu sio wanadamu hili taifa ufukara tulionao ni man made sasa TAL na JWH ndio Mussa na Haruna wetu hivyo Farao na watu wake watashindwa katika kila hila watakayopanga juu ya hawa watu
 
Nimemuona mgonjwa aliemahututi anachati balaa, uyu mgojwa mahututi wa Makalla achongowe sanam pale , Benjamin Hosp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…