Kwa Taarifa hii ya Upigaji kutoka Kwa CAG, naacha rasmi kuitetea Serikali

Rais anatakiwa aoneshe makali haiwezekani tukamuliwe mitozo, bundle ziongezwe bei afu kuna mbwa wanakula bure tu

Hapo Rais anaposema 'watupishe' ndio huwa sielewi kabisa. Kwamba waachie ngazi halafu wakale vizuri hizo pesa za wizi?

Hawa wezi wanatakiwa kufukuzwa kazi, kushtakiwa na kisha mali waliyochuma kwa jinai itaifishwe. Hii ndio njia rahisi ya kupambana na wezi wa mali za umma. Kwani kuna jambo gani gumu hapo?
 
Inauma sana [emoji22] huku mtaani maisha magumu ila huko juu watu wanajichotea tu... maumivu ni makali kwa kweli
 
Ulishindwa kuusoma mchezo muda wote huo?

Humu watu kama wewe huja na kupita, Huja na kuondoka. Inahitaji roho ngumu sana kuitetea serikali yetu maisha yako yote.

Tz hatuna nationalism wala uzalendo ukiona mtu anatoka povu kuitetea serikali either ni naive au ni mlamba asali.
 
The Sunk Cost Fallacy 2 pole sana. Bado Lucas mwashambwa
 
Mipango ya serikali hii imejaa maandiko ya kipigaji rejea wahindi wa january makamba hadi mipango ya kina bashe yote imejaa taharuki za upigaji usiomithilika
Siku akijua Bashe anampiga, naona atazirai kabisa!
 
Achana na sie turudi kwenye yale mabattle yetu ya Mwanza vs majiji utopolo, ila mi nilikuwa najua wewe ni mtu wa kitengo, tena chawa wa kulipwa kumbe ni mkorinto kama sisi😂😂😂😂😂😂😂.
 
simamia kwenye ukweli tu...
Tanzania sio ngeni ndio maana tunawaambia kuna watu wanahitaji ukatiri, mijeledi, jela na vifo ili mambo yaende.

Tabia za Watanzania wengi na wengi walio kwenye mifumo hawahitaji kuchekewachekewa...
 
Siwezi jiunga na milengo ya Kisiasa yaani kiufupi sitaki siasa,nimewahi kuwa mfuasi wa Chadema ila Toka nione walivyosaliti Ile awamu ya 5 niliachana na siasa rasmi..
Nafarijika kwamba siko peke yangu. Ule usaliti uliumiza roho yangu sana, toka hapo nikaamua kuachana kabisa na mambo ya vyama vya siasa. Mtu unaweza kujisababishia kifo bure kwa kuendekeza siasa za watu wababaishaji wasiokuwa na misimamo.
 
Huwa wanaumizwa kimya kimya
 
Ni kazi..!!
 
Wenye akili tulijua
simamia kwenye ukweli tu...
Tanzania sio ngeni ndio maana tunawaambia kuna watu wanahitaji ukatiri, mijeledi, jela na vifo ili mambo yaende.

Tabia za Watanzania wengi na wengi walio kwenye mifumo hawahitaji kuchekewachekewa...
You are not STUPID
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…