n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Huyo faru John nae mpigaji tu huko kwenye saccos yao.Kulikuwa na raisi shetani asiyependa ujanja ujanja asiyependa watu kuwa na vyeti feki sasa tuna raisi mcha mungu anaiponya nchi alisikika mbowe akisema kwenye hutubu ya bawacha
Umeongea ukweliHamna shidaa ngoja Sisi tuendelee kuisagia kunguni CCM. Sisi ni vijana waatiifu wa magufuli Wala siyo Chadema au CCM
Endelea kupiga mapambio ya mama anaupiga mwingi.Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..
Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.
Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais atachukua hatua nitarudi ila kama itapita kimya kimya basi siko tayari kubebea watu misalaba.
Huyo Mwendazake usimtaje kbisa ni rubbish wale waleEndelea kupiga mapambio ya mama anaupiga mwingi.
Niliwahi uliza, nani anafahamu mama anakoipeleka nchi. Mlinipiga mawe.
Amemnanga JPM kwa kuondoa kila alichokipanga na kuweka mfumo wake. Amejilegeza hadi anakunywa chai na majambazi sugu.
Mama ameanza kuona rangi halisi za aliowaona ni marafiki zake.
Mnapoitetea serikali isiyowajibika mjue mnawasaliti watanzania maskini na hata kusababisha mateso na vifo vyao!Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..
Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.
Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais atachukua hatua nitarudi ila kama itapita kimya kimya basi siko tayari kubebea watu misalaba.
Sio kweli..Mbona tupo vizuri tu...kamata buyu la asaliHali ni Mbaya sana!
Kuitetea hii serikali ya wapigaji lazima uwe mjinga snKupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..
Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.
Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais atachukua hatua nitarudi ila kama itapita kimya kimya basi siko tayari kubebea watu misalaba.
Ile mikopo huwa 50 ni ya kula watu 50 ya maendeleoNa sio tozo pekee inayopigwa,hadi hizo zinazokopwa nje zitakuwa zinatafunwa.
Sasa akili imeingia, hongeraKupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..
Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.
Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais atachukua hatua nitarudi ila kama itapita kimya kimya basi siko tayari kubebea watu misalaba.
Mimi nadhani hiyo nguvu uliyoitumia kuitetea serikali ihamishe kwenye kupiga kampeini CAG abadilishwe ama atimuliwe!!!Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..
Ujinga wa kutimua CAG ni WA baboon heads kina MwendazakeMimi nadhani hiyo nguvu uliyoitumia kuitetea serikali ihamishe kwenye kupiga kampeini CAG abadilishwe ama atimuliwe!!!
Eeh! Ndiyo atimuliwe, unashangaaa nini!!?
Nakushauri ufanye hivyo, kwa sababu kama unafanya ukaguzi (CAG) unakuta mapungufu unatoa mapendekezo namna ya kuondoa mapungufu hayo na bado matatizo ya mapungufu hayo yanaoongezeka Kila uletapo ripoti nyingine....! Una haja gani ya kuendelea kuwa mkaguzi(CAG) kwenye Ofisi hiyo kama siyo unakaa kutafuna 'ngawila' za Watanzania bila umuhimu?
Kwa hiyo unataka kusema wewe ukipata mgao wa upigaji....(ngoja niache kuandika hili, sitaki ban)Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Technically ukipata utakaa kimya ila Kwa nini Kuiba pesa ya umma? Kwa sababu ukikataa utafanyiwa Kila figisu utolewe au laa unauwawa..Kwa hiyo unataka kusema wewe ukipata mgao wa upigaji....(ngoja niache kuandika hili, sitaki ban)
Waswahili waelevu sana. Wana Methali hizo... Ukiambiwa mojawapo na nimwelevu unaweza kupata dalili za COVID-19 ndani ya dakika 5.baboon heads
Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..
Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.
Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais atachukua hatua nitarudi ila kama itapita kimya kimya basi siko tayari kubebea watu misalaba.
Wewe Ndugu yangu wewe...! Yaani Kuna wakati unatema madini, mfano kama hapa umetema madini kabisa sio kama kule juu ulivyoboronga.So Ili tusifike huko badili systems za kusimamia rasilimali otherwise hakuna kitu kitabadilika.
Hivi serious kabisa pale alikuwa akimaanisha haya tunayoyasikia sasa au mi ndiyo nilielewa vibaya?Wewe kauli ya kula kwa urefu wa kamba uliielewaje?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app