Mr Acky
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 234
- 313
Hapo sasaHivi siku hizi makanisa yanafungisha ukiwa na kibendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasaHivi siku hizi makanisa yanafungisha ukiwa na kibendi
Watu mbna nongwa mnoo khaaah.Itadumu maana Mmoja alijilipua.
Mmoja kwake anaona Kwa hali yangu nmepata Wakunizalisha..
Ikitokea wameachana, wakujilipua, atajinyonga
Bora useme wee shost, cha ajabu sasa wanaume ndo wanateseka. LolAcheni wivu, tafuteni pesa ila mfanye ndoa za ndoto zenu. Hakuna asipenda mambo mazuri jamenii
Roho mbaya sana wanazo,hii inasababishwa na umaskini. Kila pahali wanatia nongwa.Weeh God punish poverty in my life.Bora useme wee shost, cha ajabu sasa wanaume ndo wanateseka. Lol
Uchawi sio sbb ya maisha magumu Africa, ni Utawala na Uongozi Mbovu.Afrika kuna wachawi wengi sana ndiyo maana hata kutoboa kimaisha tunapambana sana.
Huyu mtu hajatoa hata mia lakini anawaombea wenzanke vibaya. Watu wamejaa chuki, kisirani na roho mbaya.
Hujawakosea lakini wanakuombea mabaya.
Ndiyo maana wengi wakifanikiwa wanajenga mjengo mkubwa, wanapiga fensi maana hawachelewi kukuwekea sumu.
Nandy seems to be to strong to be controlled by William.I saw this yesterday as they were moving together.Somebody from the background said ,Billnass kaolewa.Kwa akili ya kawaida na kufuatilia mila na desturi za kabila atokalo Nandi, Hiyo ndoa imefungwa kwa *** ili kuhakikisha mtoto anazaliwa ndani ya ndoa, maana makabila mengine yanashika mila na desturi kama pete na kidole.... Mengine kapuni. Mfano kama mtoto angezaliwa nje ya ndoa ingekuwa kasheshe kutambulika kwenye ukoo seeeee. Wale wachaga wanajua kinaga ubaga hiyo
popoma aka jinga.Wote ni Mabingwa na Hodari wa kutopenda Kula Ndizi na Sambusa hiyohiyo kila Siku tu na hupendelea zaidi kubadilisha Menu (Menyu) za Kibaiolojia (Kisayansi).
Ndizi na sambusa [emoji23][emoji23][emoji23] kwamba hawa ni wadau wa mtandao ?Wote ni Mabingwa na Hodari wa kutopenda Kula Ndizi na Sambusa hiyohiyo kila Siku tu na hupendelea zaidi kubadilisha Menu (Menyu) za Kibaiolojia (Kisayansi).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Roho mbaya sana wanazo,hii inasababishwa na umaskini. Kila pahali wanatia nongwa.Weeh God punish poverty in my life.
Kaolewe nawee, khaaaahNandy seems to be to strong to be controlled by William.I saw this yesterday as they were moving together.Somebody from the background said ,Billnass kaolewa.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kwa akili ya kawaida na kufuatilia mila na desturi za kabila atokalo Nandi, Hiyo ndoa imefungwa kwa *** ili kuhakikisha mtoto anazaliwa ndani ya ndoa, maana makabila mengine yanashika mila na desturi kama pete na kidole.... Mengine kapuni. Mfano kama mtoto angezaliwa nje ya ndoa ingekuwa kasheshe kutambulika kwenye ukoo seeeee. Wale wachaga wanajua kinaga ubaga hiyo
Kwa nini ujipeleke huko boko haramu na al shabab upoteze nauli na muda unakuja magetoni na mafuta kabisa nakupa mti wa maanaWote ni Mabingwa na Hodari wa kutopenda Kula Ndizi na Sambusa hiyohiyo kila Siku tu na hupendelea zaidi kubadilisha Menu (Menyu) za Kibaiolojia (Kisayansi).
Ukiwa na hela hakuna linaloshindikana.Hivi siku hizi makanisa yanafungisha ukiwa na kibendi