Kwa tabia binafsi ninazozijua za Waliooana kwa Mbwembwe Leo, Ndoa yao ikidumu Miezi 6 tu najipeleka kwa Al-Shabaab au Boko-Haram wakanimalize

Nikimwangalia Billnas huwa nahisi tu pengine hulka yake ni ustaarabu na utaratibu tena pengine ni mpole tofauti na hulka ya Nandy, ni mtazamo wangu tu
 
Na kwenye mahusiano ndio inapendeza mmoja awe mpole (hasa mwanaume) mwingine awe kachachuka hapo mtadumu and trust me wapole hua wana enjoy sana vituko vya wapenzi wao waliochachuka,
Lakini wakiwa wote wapole hawapendezi na wakiwa wote wamechachuka hawadumu.
 
Back
Top Bottom