Kwa tabia binafsi ninazozijua za Waliooana kwa Mbwembwe Leo, Ndoa yao ikidumu Miezi 6 tu najipeleka kwa Al-Shabaab au Boko-Haram wakanimalize

Uchawi sio sbb ya maisha magumu Africa, ni Utawala na Uongozi Mbovu.

Mtoa Mada, ametumia uzoefu wa kihistoria juu ya jamii na kabila la mume na mke, na kazi yao kutoa uelekeo wa uhai wa muunganiko wao.

kwamba:

1. hizo kabila ndio zinazo ongoza kwa ndoa nyingi kuvunjika(chukua hii kama ulikuwa hujui, fanya utafiti wako)
2. Kazi yao/usanii: nje ndani ni wazi ndoa za wasanii hazidumu (wasanii wanaisha maisha ya macho ya watu).
 
Nandy seems to be to strong to be controlled by William.I saw this yesterday as they were moving together.Somebody from the background said ,Billnass kaolewa.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Halafu wewe utafaidika na nini?

Unatabiri maisha ya wenzako wakati wewe mwenyewe huijua hata kesho yako!
 
Wote ni Mabingwa na Hodari wa kutopenda Kula Ndizi na Sambusa hiyohiyo kila Siku tu na hupendelea zaidi kubadilisha Menu (Menyu) za Kibaiolojia (Kisayansi).
Ndizi na sambusa [emoji23][emoji23][emoji23] kwamba hawa ni wadau wa mtandao ?
 

Wewe kweli kitutu! Nina maPutin wangu watatu wote tumezalisha uchagani …Mmoja kazalisha watoto watatu mama tofauti wa kichaga….eti nyokonyoko Mila za wale watu…
 
Wote ni Mabingwa na Hodari wa kutopenda Kula Ndizi na Sambusa hiyohiyo kila Siku tu na hupendelea zaidi kubadilisha Menu (Menyu) za Kibaiolojia (Kisayansi).
Kwa nini ujipeleke huko boko haramu na al shabab upoteze nauli na muda unakuja magetoni na mafuta kabisa nakupa mti wa maana
 
Hivi siku hizi makanisa yanafungisha ukiwa na kibendi
Ukiwa na hela hakuna linaloshindikana.
Nini mwenye kibendi, mke wa mtu anaozeshwa tena na watu wanapiga vigele gele.
Ukiwa na busara dunia ya sasa ibada yako fanya chumbani kwako, wewe na Mungu wako tu. Haya makanisa na misikiti ni sehemu za biashara tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…