Na kwenye mahusiano ndio inapendeza mmoja awe mpole (hasa mwanaume) mwingine awe kachachuka hapo mtadumu and trust me wapole hua wana enjoy sana vituko vya wapenzi wao waliochachuka,
Lakini wakiwa wote wapole hawapendezi na wakiwa wote wamechachuka hawadumu.