Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #61
Ukishatoa ruhusa ya jambo fulani kutokea unatakiwa kuweka mazingira ya hilo jambo kutokea. Ina maana Allah amesahau kwamba alitoa hilo agizo ndio maana anaumba wanaume wengi kuliko wanawake hapa duniani?Umeelewa nilichoandika mkuu? Hebu soma tena
“
Ukisoma Quran vizuri Allah hajalazimisha mtu kuoa wake wanne, na kwakuwa hajalazimishwa mtu hivyo usitarajie kuona kila mtu anaoa wanne.”
Na kwa watakaofanya hivyo wanapewa sharti la kuwa na uwezo wa kufanya uadilifu baina ya wakeze.
Wapi hapo amesema uoe zaidi ya mke mmoja? Ipo clear, mwanaume ataambatana na mke wake na hakuna talaka.Dah, hapo ni wapi tumeambiwa tuoe mke mmoja? Na tusioe wake wengi mkuu?
Na sio wanaume wote wanaume wote wanaoa wake wanne.Kwahiyo hiyo surplus ndio inatakiwa angalau wanaume laki tano wa kiislamu wajipatie wake wanne halafu wengine wabakie hivyo? Kumbe quran iliandika agizo kwa ajili ya wachache? Na hii ni kwa Tanzania peke yake.
Mbona umeziepuka takwimu za dunia nzima zinazoonesha wanaume ni wengi zaidi?
Ethiopia waliwahi kupiga marufuku wakristo hivyo ikawa inaaminika kwamba hawapo tena.Nikweli kabisa wakiwaruhusu mbona makanisa kila kona watayaona.
Unaelewa ninachojaribu kukueleza kweli?Ukishatoa ruhusa ya jambo fulani kutokea unatakiwa kuweka mazingira ya hilo jambo kutokea. Ina maana Allah amesahau kwamba alitoa hilo agizo ndio maana anaumba wanaume wengi kuliko wanawake hapa duniani?
Sasa hapo wapi imekatazwa kuoa mke zaidi ya mmoja?Wapi hapo amesema uoe zaidi ya mke mmoja? Ipo clear, mwanaume ataambatana na mke wake na hakuna talaka.
Kwakweli hii komenti yako inathibitisha.Wajinga Jf ni wengi mno....
Una takwimu mkuu?Kumbe kwa miaka yote walikuwepo kimyakimya. Utashangaa siku Saudi Arabia, Iran, Yemen, nk wakiweka uhuru kukawa na wakristo wengi kuliko sehemu nyingine duniani.
Niambie duniani kuna wafungwa wangapi ili tuone kama idadi hiyo itakuwa kubwa na significant ukifananisha na uwepo wa wanaume bilioni 3+ na wanawake bilioni 3+Hivi unakijua unachokisema au unabahatisha?
Kwa Marekani pekee ‘Federal Bureau of Prison’ walitoa ripoti iliyoonesha kuwa 93% ya wafungwa wao ni wanaume na wanawake ni 7% pekee.
Kwa duniani inakadiriwa kuwa (hii ni takwimu ya muda mrefu kidogo lakini itatusaidia walau kupata picha, ni ya 2010) kati ya Wafungwa 16 basi 15 ni wanaume na mwanamke ni mmoja tu, hiyo ni DUNIANI.
Nakuuliza tena unajua unachokisema au unabahatisha? Championship
Mimi huwa ninaanini Muhammad alikuwa jamaa aliyetaka umaarufu hivyo akatunga stori nyingi nyingi na kuanzisha dini na matokeo yake ndio sasa errors kibao zinaonekana.Yule mungu wa lugha moja tu ana maagizo ya hovyo sana pamoja na mtume wake
Nawe unaamin?? kadri miaka inavyokwenda hizi dini zitakosa kabisa wafuasi.Una takwimu mkuu?
Kwa mujibu wa tafiti iliyofanywa na ‘Pew Research Center’ mwaka 2017 iliitaja Uislamu kuwa ni Dini inayokua kwa kasi zaidi.
Mwaka ule waislamu walikadiriwa kuwa Bilioni 1.8 duniani ila inatazamiwa idadi hiyo kuongezeka na kufikia Bilioni 3 ifikapo 2060 ambapo ni ongezeko la zaidi ya 70% Huku wakristo wanatazamiwa kuongezeka kwa asilimia 34% tu.
Na wakati huo watu watatu kati ya kumi watakuwa ni Waislam duniani.
Unatakiwa ujue wanaume wanakufa vitani,hawana nguvu za kiume na Pia Sio wanaume wote wataweza kuoa wake zaidi ya 1,Ruhusa ya kuoa wake wengi inawahitaji wale tu wenye vigezo sio kila anayevaa suruali,hivyo Kwa idadi yetu wanaume Bado agizo la Quran lipo sahihi asilimia 100% Hadi ninavyoandika muda huu.Kuna mambo yanafikirisha pale baadhi ya vitabu vya kale kutoa maelekezo ambayo yanapingana na uhalisia wa dunia.
Tanzania (mwaka 2022)
Wanawake 31,687,990
Wanaume 30,053,130
Duniani (mwaka 2021)
Wanaume: 3,970,238,390 (bilioni 3.97 sawa na asilimia 50.42%)
Wanawake: 3,904,727,342 (bilioni 3.905 sawa na asilimia 49.58%)
Kwahiyo hapa duniani, kwa kila wanawake 100 wanaozaliwa kuna wanaume 106 wanazaliwa. Wanaume ni wengi kuliko wanawake kwa mujibu wa takwimu zinazotambulika.
Wanaume wakiamua kuoa wake wanne kama Quran inavyoruhusu basi itabidi hao wanawake wawe wa shirikisho kwa wanaume. Hii haikubaliki katika jamii nyingi ulimwenguni.
Allah atakuwa alitoa agizo hili bila kuifahamu dunia maana tungetegemea wanawake wawe wengi sana kuliko wanaume. Tunaweza kuhitimisha kwamba hakuifahamu dunia.
Agizo la kuoa mke zaidi ya mmoja sio realistic ndio maana hata namba zinagoma. Hilo jambo lingekuwa sahihi basi wanawake wangekuwa wanalifurahia. Haiwezekani Allah aruhusu kitu wakati huohuo aweke ndani ya mioyo ya wanawake chuki pale jambo hilo la heri linapotokea.Unaelewa ninachojaribu kukueleza kweli?
Kuoa wake wanne si amri, ni ruhusa kwa watakaoweza. Na toka ruhusa hiyo imetolewa miaka 1400 iliyopita ushawi sikia kesi kuwa kuna mahali Wanawake hawatoshi kwa sababu kuna Waislamu wameoa wake wengi?
Wapi pamesemwa aoe zaidi ya mke mmoja? Biblia ipo clear, kama mtu amekuwa mzinifu unaruhusiwa kutengana naye. Na ukiona kukaa mwenyewe kumekuchosha basi rudi kwa mtu wako myatengeneze. Hakuna sababu nyingine yoyote iliyoruhusiwa.Sasa hapo wapi imekatazwa kuoa mke zaidi ya mmoja?
Halafu suala la talaka wewe umesema “hakuna talaka” kwa akili ya kawaida isiyohitaji Digirii unadhani ‘is it practical?’
Wewe ndiye unaefanya watu waitukane Biblia takatifu.
Uislamu unaongezeka kwenye nchi ya ufaransa na sababu zinaeleweka. Pia waislamu wanakuwa wengi kwasababu wanazaliana sana. Ukristo halisi wa wale ambao ni wafuasi wa mafundisho ya Bwana Yesu Kristo katika biblia (acha huu wa dini kama ukatoliki nk) unaendelea kukua kimyakimya na unao wafuasi imara.Una takwimu mkuu?
Kwa mujibu wa tafiti iliyofanywa na ‘Pew Research Center’ mwaka 2017 iliitaja Uislamu kuwa ni Dini inayokua kwa kasi zaidi.
Mwaka ule waislamu walikadiriwa kuwa Bilioni 1.8 duniani ila inatazamiwa idadi hiyo kuongezeka na kufikia Bilioni 3 ifikapo 2060 ambapo ni ongezeko la zaidi ya 70% Huku wakristo wanatazamiwa kuongezeka kwa asilimia 34% tu.
Na wakati huo watu watatu kati ya kumi watakuwa ni Waislam duniani.
Kama hauna takwimu maneno yako yanakuwa ‘mere speculation’ na inapaswa kuwa ninaibu kuyaandika katika jukwaa kama hili.
Idadi ya wanaume kwa takwimu za mwaka 2021 hapa duniani zimewazidi wanawake kwa milioni 60+ hivyo hayo makundi maalumu umeyataja hapo yanaweza kujazwa na watu hao.Unatakiwa ujue wanaume wanakufa vitani,hawana nguvu za kiume na Pia Sio wanaume wote wataweza kuoa wake zaidi ya 1,Ruhusa ya kuoa wake wengi inawahitaji wale tu wenye vigezo sio kila anayevaa suruali,hivyo Kwa idadi yetu wanaume Bado agizo la Quran lipo sahihi asilimia 100% Hadi ninavyoandika muda huu.
Sisi wakristo Mungu wetu aamini kwenye wingi nikutolee mfano middle east Israel ni nchi ndogo sana lakin ilishapigana vita na nchi tano za kiarabu na ikazishinda kwetu wingi sio hojaUna takwimu mkuu?
Kwa mujibu wa tafiti iliyofanywa na ‘Pew Research Center’ mwaka 2017 iliitaja Uislamu kuwa ni Dini inayokua kwa kasi zaidi.
Mwaka ule waislamu walikadiriwa kuwa Bilioni 1.8 duniani ila inatazamiwa idadi hiyo kuongezeka na kufikia Bilioni 3 ifikapo 2060 ambapo ni ongezeko la zaidi ya 70% Huku wakristo wanatazamiwa kuongezeka kwa asilimia 34% tu.
Na wakati huo watu watatu kati ya kumi watakuwa ni Waislam duniani.
Waambie Saudi Arabia, Qatar, Oman, waruhusu uhuru wa kuabudu na wasiweke pingamizi kwa ujenzi wa makanisaMuongo.
Mkuu ile hoja ilikuwa inajibu madai ya waislamu kukimbilia ukristo.Sisi wakristo Mungu wetu aamini kwenye wingi nikutolee mfano middle east Israel ni nchi ndogo sana lakin ilishapigana vita na nchi tano za kiarabu na ikazishinda kwetu wingi sio hoja
Sensa ni zinadhaminiwa na wazungu lazima hesabu itoke kama wanavyotaka wao ili iwe rahisi kuleta mambo ya gender equity na mambo yao ya magashoKuna mambo yanafikirisha pale baadhi ya vitabu vya kale kutoa maelekezo ambayo yanapingana na uhalisia wa dunia.
Tanzania (mwaka 2022)
Wanawake 31,687,990
Wanaume 30,053,130
Duniani (mwaka 2021)
Wanaume: 3,970,238,390 (bilioni 3.97 sawa na asilimia 50.42%)
Wanawake: 3,904,727,342 (bilioni 3.905 sawa na asilimia 49.58%)
Kwahiyo hapa duniani, kwa kila wanawake 100 wanaozaliwa kuna wanaume 106 wanazaliwa. Wanaume ni wengi kuliko wanawake kwa mujibu wa takwimu zinazotambulika.
Wanaume wakiamua kuoa wake wanne kama Quran inavyoruhusu basi itabidi hao wanawake wawe wa shirikisho kwa wanaume. Hii haikubaliki katika jamii nyingi ulimwenguni.
Allah atakuwa alitoa agizo hili bila kuifahamu dunia maana tungetegemea wanawake wawe wengi sana kuliko wanaume. Tunaweza kuhitimisha kwamba hakuifahamu dunia.
Mkuu kusema Uislam unakua Ufaransa peke yake umefanya tafiti?Uislamu unaongezeka kwenye nchi ya ufaransa na sababu zinaeleweka. Pia waislamu wanakuwa wengi kwasababu wanazaliana sana. Ukristo halisi wa wale ambao ni wafuasi wa mafundisho ya Bwana Yesu Kristo katika biblia (acha huu wa dini kama ukatoliki nk) unaendelea kukua kimyakimya na unao wafuasi imara.
Ila ukiangalia kwa ukaribu zaidi siioni sustainability ya ukuaji wa uislamu kwa miaka ijayo kwasababu jamii za sasa zinaepuka sana kuzingatia imani za dini au angalau asilimia kubwa ya wanaoitwa waamini ni watu ambao hawajasimama imara kwenye hizo imani.
Hata hivyo kinabii inatarajiwa uislamu na ukatoliki utakuja kuungana na kutengeneza dini moja maalumu kwa ajili ya ulimwengu wote hivyo kwangu mimi makundi haya mawili lazima yataendelea kukua na kuwa integrated.
Tupe andiko la biblia linalosema mwanaume akioa wanawake zaidi ya mmoja ni dhambi. Nasubiri hapaAgizo la biblia la mke mmoja kwa mwanaume mmoja linaonekana kuwa sahihi zaidi kwa takwimu hizi.
SIO AGIZO, ni Ruhusa. Kuwa ‘objective’ uuelewe vyema Uislam. Ukishaelewa kua SI AGIZO bali ni Ruksa huu uzi unapoteza maana.Agizo la kuoa mke zaidi ya mmoja sio realistic ndio maana hata namba zinagoma.
Unasema mungu kaweka chuki kwa KE juu ya ndoa hizi, ni kweli wapo baadhi ya KE wasiopenda kuolewa hivi na pia wapo wanaopenda kuolewa namna hii.Hilo jambo lingekuwa sahihi basi wanawake wangekuwa wanalifurahia. Haiwezekani Allah aruhusu kitu wakati huohuo aweke ndani ya mioyo ya wanawake chuki pale jambo hilo la heri linapotokea.
Narudia tena, kuwa ‘Objective’ ili uelewe kitu kidogo sana. KUOA WAKE WANNE SIO AGIZO, NI RUHUSA!Agizo hilo limepuuzwa na modern society ndio maana hapajatokea upungufu wa wanawake.
Unaona sasa? Biblia haijawa wazi kwenye hilo Quran imetueleza wazi kuwa “…. Oa mmoja tu…”Wapi pamesemwa aoe zaidi ya mke mmoja?
Vizuri, maana imeonesha kuwa ‘progressive’ kidogo.Bible ipo clear, kama mtu amekuwa mzinifu unaruhusiwa kutengana naye. Na ukiona kukaa mwenyewe kumekuchosha basi rudi kwa mtu wako myatengeneze. Hakuna sababu nyingine yoyote iliyoruhusiwa.
Nakuuliza tena, unajua unachokiongea mkuu?Sasa practicality ni jambo la wanadamu tu.
Mkuu jipe muda soma tena ukristo, usome vizuri na usome Uislam vizuri kisha uje uandike vitu vyenye mantiki nami ‘i will be more than happy to discuss spirituality with you’Sheria ya ndoa hata hapa tz inamruhusu mkristo kuivunja kupitia mahakama lakini haimaanishi kwamba ndoa imevunjwa mbinguni. Biblia itaheshimika milele kwasababu imeweka msingi kwenye upendo wa kweli na msamaha.