Kwa takwimu hizi za sensa hapa Tanzania na duniani, agizo la Quran kuoa mpaka wanawake wanne halitekelezeki

Umejibu vizur

Huo upungufu umeathir wanaume kukosa wake wa kuoa?

Au hata hapa tanzania Tu,je umeshawahi sikia mkoa Fulani wanaupungufu WA wanawake WA kuoa hivyo ikawabidi kwenda mkoa X kupata wanawake?
 
Kama kawaida hamjibu kabisa hoja ila mnabadilisha mjadala.
 
It was a serious question lakini, was no game or kutafuta ubishi tuu, anyway hope wengine watanijibu
Mimi kawaida yangu sipendi kusema ,kutoa ufafanuzi wala kuzungumzia jambo ambalo sina ujuzi nao wala details za uhakika .

Wewe bado haijafikia ujinga kiasi ambacho haustahili kujibiwa #WanaojuaWatakujibu.

Na ni kuelimika kwa mtu kunyamaza katika mambo ambayo hayajui.
 
Waislamu wenzangu wametoa sababu nzuri Sana juu ya kwanini Allah alikuwa sahihi kuruhusu au kutoa RUHUSA ya wanaume kuoa wake wanne.
Ametoa ruhusa bila kuwa na uwezo wa kuumba wanawake wengi kuliko wanaume.
Wivu uliumbwa na Allah? Kwahiyo alishindwa kuuondoa kwa wanawake?πŸ˜‚
Hakuna mtu anaweza kumpenda kindoa mwanamke zaidi ya mmoja. Na huu ni uthibitisho wa wazi kwamba Allah hajawahi kuumba chochote ndio maana hata hafahamu nature ya mwanadamu.
Kuna mpuuzi mmoja wala sikutaka kumkoti alisema wanaume wameruhusiwa kuoa wake wengi eti kwasababu Tu wanaume walikufa vitani! Huyo ni mpuuzi kwasababu hajui anachokisema.
Hapo mtajuana wenyewe na mikanganyiko yenu.
Kwahiyo Allah hakuweza kudhibiti matamanio akaamua kuruhusu wanawake wengi waolewe huku akiwa hana uwezo wa kuwaumba kwa wingi?
Mimi ni mwanaume na ninakataa hili. Hakuna mwanaume anayeshindwa kuvumilia zile siku nne mpaka tano. Mengine hayo ni masuala ya saikolojia tu ya kuwekana tayari kwa ajili ya tendo.
3) Idadi ya waoaji ni ndogo Sana ukilinganisha na wasio oa,humu ndani si kuna wapuuzi wengi wanasemaga kataa ndoa,au naongopa? Je hawa Akina dada je watasitiriwa na Akina Nani kama sio wanaume marijali .
Kwahiyo Allah alishindwa kuumba waoaji?πŸ˜‚
Utasikia biblia imekataza kufanya hivyo,wakati hakuna kifungu kinachosema hivyo.
Soma Mathayo 19 kuanzia mstari wa 3 utapata maelezo clear.
 
Unapata faida gani kuleta takwimu za uongo wewe mvaa rozari ....
Hizo data zako za kuokota Makanyagio Ni fake .
Hio ni makanyagio ya Iringa karibu na mkwawa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Muulize nurse au doctor anayehusika na kuzalisha (mkunga) atakupa takwimu kwamba wanazaliwa wengi ni Wanaume Zaid ya wanawake utajiona ulivyokua mjinga
Hiyo nesi WA mchongo mkuu

Siku zote wanawake huwa wengi,ebu fuatilia hizi sherehe za krismas,mwaka mpya,Eid na uone idadi ya wanao zaliwa
Nimekutajia hayo kwakuwa ndio mara hutoa data zao
 

Umeongea upumbavu tu!

Niambie je kuna watu walikosa wake wa kuoa kisa waislamu wanao wake wanne?
 
Bado hujaelewa hiyo concept,kwanza sio lazima Kwa kila mwanaume,pia Bado hiyo Ruhusa unatakiwa uzingatie Haina time limit Kwa maana Hadi pale Dunia itakapotamatika,hivyo Kwa Leo pamoja na Wanawake kuwa wachache Bado tupo sisi marijali tunamke zaidi ya 1 na wakati huo hayupo mwanaume aliyekosa MKE eti Kwa sababu sisi marijali tumeoa 2 au 3 au 4.Bado ninahakika Quran verses Haina upinzani ktk hili.Ukirudi nyuma kama Quran isingesema je sisi marijali si tungekuwa tumeonewa kunyimwa mbumbusa zaidi ya 1 Kwa mujibu wa maandiko?
 
Umejibu vizur

Huo upungufu umeathir wanaume kukosa wake wa kuoa?

Au hata hapa tanzania Tu,je umeshawahi sikia mkoa Fulani wanaupungufu WA wanawake WA kuoa hivyo ikawabidi kwenda mkoa X kupata wanawake?
Waislam wamelipuuza agizo la quran baada ya kugundua Allah ameshindwa kuumba wanawake wengi kuliko wanaume.
 
Agizo la quran kuoa wake wengi limetupiliwa mbali kwasababu Allah hajaweza kuumba wanawake wengi kuliko wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…