Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Huo upuuzi kawaambie wapuuzi wenzakoDunia nzima Wanaume ndo wanaozaliwa wengi kuliko wanawake unalijua hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo upuuzi kawaambie wapuuzi wenzakoDunia nzima Wanaume ndo wanaozaliwa wengi kuliko wanawake unalijua hilo
Muulize nurse au doctor anayehusika na kuzalisha (mkunga) atakupa takwimu kwamba wanazaliwa wengi ni Wanaume Zaid ya wanawake utajiona ulivyokua mjingaHuo upuuzi kawaambie wapuuzi wenzako
Wanawake ni wachache au wewe huoniHakiwezekani vipi wewe
Umeshawahi ona wanawake wameisha tangu waislamu waanze kuoa wake wanne?
Wangekuwa wachache ungekuta wanajiuza?
Acha upuuzi!
Nasikia kule Afghanistan au Saudi mtu akibadili dini kutoka uislam anapewa adhabu mpaka ya kifo? tuelimishe hili swala na korani inasemaje kuhusu hiliOk, ahsante kwa taarifa
Naomba unijibu hoja ya msingi mkuuWanawake ni wachache au wewe huoni
Upungufu upo Ila sio kwa sababu ya waislamu wanaoa wake wa-nneNaomba unijibu hoja ya msingi mkuu
Umeshawi ona kuna upungufu WA wanawake kisa eti kwasababu waislamu wanaoa wake wanne?
Sifàhamu.Nasikia kule Afghanistan au Saudi mtu akibadili dini kutoka uislam anapewa adhabu mpaka ya kifo? tuelimishe hili swala na korani inasemaje kuhusu hili
It was a serious question lakini, was no game or kutafuta ubishi tuu, anyway hope wengine watanijibuSifàhamu.
Kama kawaida hamjibu kabisa hoja ila mnabadilisha mjadala.Mkuu mpaka unasema haya upo kundi gani kati ya haya?
1. Unaijua Quran tu
2. Unaijua Biblia tu (halafu unatoa ‘commentary’ kuhusu Quran)
3. Unazijua Quran na Biblia
Kama upo kwenye kundi namba tatu, basi unaweza kuendelea kuleta mada za dini hizi mbili, vinginevyo jipe muda jifunze kuhusu dini zote mbili kwa utulivu, zielewe ili hata ukileta mada hapa iwe mada yenye mantiki si ya kishabiki isiyo na uthibitisho inayoonesha wazi mleta mada hajui anachokizungumza mkuu.
Kama Biblia takatifu inavyoeleza kwenye methali 15:14
“The mind of the intelligent seeks knowledge, But the mouth of fools feeds on foolishness.”
Mimi kawaida yangu sipendi kusema ,kutoa ufafanuzi wala kuzungumzia jambo ambalo sina ujuzi nao wala details za uhakika .It was a serious question lakini, was no game or kutafuta ubishi tuu, anyway hope wengine watanijibu
Lete data, hebu msiudhalilishe ukristo.Dunia nzima Wanaume ndo wanaozaliwa wengi kuliko wanawake unalijua hilo
Mjadala haujabadilishwa, ninakuuliza sababu huonekani kuwa mtu unaesoma na kutafiti kabla hujaandika mkuu.Kama kawaida hamjibu kabisa hoja ila mnabadilisha mjadala.
Ametoa ruhusa bila kuwa na uwezo wa kuumba wanawake wengi kuliko wanaume.Waislamu wenzangu wametoa sababu nzuri Sana juu ya kwanini Allah alikuwa sahihi kuruhusu au kutoa RUHUSA ya wanaume kuoa wake wanne.
Wivu uliumbwa na Allah? Kwahiyo alishindwa kuuondoa kwa wanawake?😂Ningependa kuongezea mambo mawili matatu
Kuna hoja inasema kama Allah ameridhia hivyo kwanini hajawafanya wanawake kuridhia swala Hilo?
Kwanza wivu ni Swala la asili ambalo tumeumbwa nalo,kwahiyo Kwa mwanamke kutopenda mume kuoa mke mwingine ni Swala la wivu Tu na si vingine
Hakuna mtu anaweza kumpenda kindoa mwanamke zaidi ya mmoja. Na huu ni uthibitisho wa wazi kwamba Allah hajawahi kuumba chochote ndio maana hata hafahamu nature ya mwanadamu.Lakini linatokana na Sisi wanaume wenyewe,tumetengeneza mazingira kwamba tunao mke mwingine kama kumtia adabu mke mkubwa ima Kwa kutokuwa na nidhamu au kutokuwa msikivu,sasa yote yanawafanya automatically kuchukia uke wenza
Na lingine ni kuhamisha mapenzi yote Kwa mke mpya na ni kitu ambacho hakifai katika Dini na tumesisitizwa Sana tufanye uadilifu Kwa wake zetu,ni ukweli usio pingika kuwa huwezi kuwapenda wote Kwa asilimia Mia lkn usimfanye huyo mwingine aonekane hapendwi
Kwahiyo hayo na mengine ndio huwafanya wanawake kuchukia uke wenza.
Lakini wengi wao wanajua Dini inaruhusu hivyo na hawana Shaka nalo.
Hapo mtajuana wenyewe na mikanganyiko yenu.Kuna mpuuzi mmoja wala sikutaka kumkoti alisema wanaume wameruhusiwa kuoa wake wengi eti kwasababu Tu wanaume walikufa vitani! Huyo ni mpuuzi kwasababu hajui anachokisema.
Kwahiyo Allah hakuweza kudhibiti matamanio akaamua kuruhusu wanawake wengi waolewe huku akiwa hana uwezo wa kuwaumba kwa wingi?Kuna sababu zifuatazo ambazo Allah ametupa RUHUSA ya kuoa wake wanne kama tulitaka;
1) kuna wanaume ambao wamejaaliwa matamanio hasa au Wana nguvu hasa za kusex,watu kama hawa mke mmoja hawezi kumhudumia,yaani yeye anahitaji Sana sex kiasi kwamba inakuwa Keri Kwa mke,so mtu kama huyu ili kuepuka zinaa ni Bora akaongeza mke ili asimkosee Allah. Wengi wenu ni mashahidi humu mara nyingi Watu wanaandiza Uzi kuwa unakuta mke Hampi mumewe unyumba Bila sababu maalum,na ndio maana Michepuko inakuwa mingi Sana
Mimi ni mwanaume na ninakataa hili. Hakuna mwanaume anayeshindwa kuvumilia zile siku nne mpaka tano. Mengine hayo ni masuala ya saikolojia tu ya kuwekana tayari kwa ajili ya tendo.2) Kuna vipindi ambavyo wanawake wanapitia ambavyo huchangia kushindwa kumhudumia mumewe ktk swala zima sex,mfano kipindi cha siku zake,au kipindi cha mimba,kuna wengine wakipata mimba Tu wanapata bed rest,na wengine hawajisikii jabisa kusex, hapo mwanaume atahitaji kuwa na mke mwingine ili mambo yaende Sawa.
Kwahiyo Allah alishindwa kuumba waoaji?😂3) Idadi ya waoaji ni ndogo Sana ukilinganisha na wasio oa,humu ndani si kuna wapuuzi wengi wanasemaga kataa ndoa,au naongopa? Je hawa Akina dada je watasitiriwa na Akina Nani kama sio wanaume marijali .
Soma Mathayo 19 kuanzia mstari wa 3 utapata maelezo clear.Utasikia biblia imekataza kufanya hivyo,wakati hakuna kifungu kinachosema hivyo.
Hio ni makanyagio ya Iringa karibu na mkwawa?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Unapata faida gani kuleta takwimu za uongo wewe mvaa rozari ....
Hizo data zako za kuokota Makanyagio Ni fake .
Hiyo nesi WA mchongo mkuuMuulize nurse au doctor anayehusika na kuzalisha (mkunga) atakupa takwimu kwamba wanazaliwa wengi ni Wanaume Zaid ya wanawake utajiona ulivyokua mjinga
Ametoa ruhusa bila kuwa na uwezo wa kuumba wanawake wengi kuliko wanaume.
Wivu uliumbwa na Allah? Kwahiyo alishindwa kuuondoa kwa wanawake?😂
Hakuna mtu anaweza kumpenda kindoa mwanamke zaidi ya mmoja. Na huu ni uthibitisho wa wazi kwamba Allah hajawahi kuumba chochote ndio maana hata hafahamu nature ya mwanadamu.
Hapo mtajuana wenyewe na mikanganyiko yenu.
Kwahiyo Allah hakuweza kudhibiti matamanio akaamua kuruhusu wanawake wengi waolewe huku akiwa hana uwezo wa kuwaumba kwa wingi?
Mimi ni mwanaume na ninakataa hili. Hakuna mwanaume anayeshindwa kuvumilia zile siku nne mpaka tano. Mengine hayo ni masuala ya saikolojia tu ya kuwekana tayari kwa ajili ya tendo.
Kwahiyo Allah alishindwa kuumba waoaji?😂
Soma Mathayo 19 kuanzia mstari wa 3 utapata maelezo clear.
Bado hujaelewa hiyo concept,kwanza sio lazima Kwa kila mwanaume,pia Bado hiyo Ruhusa unatakiwa uzingatie Haina time limit Kwa maana Hadi pale Dunia itakapotamatika,hivyo Kwa Leo pamoja na Wanawake kuwa wachache Bado tupo sisi marijali tunamke zaidi ya 1 na wakati huo hayupo mwanaume aliyekosa MKE eti Kwa sababu sisi marijali tumeoa 2 au 3 au 4.Bado ninahakika Quran verses Haina upinzani ktk hili.Ukirudi nyuma kama Quran isingesema je sisi marijali si tungekuwa tumeonewa kunyimwa mbumbusa zaidi ya 1 Kwa mujibu wa maandiko?Idadi ya wanaume kwa takwimu za mwaka 2021 hapa duniani zimewazidi wanawake kwa milioni 60+ hivyo hayo makundi maalumu umeyataja hapo yanaweza kujazwa na watu hao.
Kwahiyo bado haijawa clear kwanini Allah ameshindwa kuumba angalau wanawake wengi zaidi ya wanaume ili ruhusa yake iweze kutekelezwa.
Waislam wamelipuuza agizo la quran baada ya kugundua Allah ameshindwa kuumba wanawake wengi kuliko wanaume.Umejibu vizur
Huo upungufu umeathir wanaume kukosa wake wa kuoa?
Au hata hapa tanzania Tu,je umeshawahi sikia mkoa Fulani wanaupungufu WA wanawake WA kuoa hivyo ikawabidi kwenda mkoa X kupata wanawake?
Agizo la quran kuoa wake wengi limetupiliwa mbali kwasababu Allah hajaweza kuumba wanawake wengi kuliko wanaume.Bado hujaelewa hiyo concept,kwanza sio lazima Kwa kila mwanaume,pia Bado hiyo Ruhusa unatakiwa uzingatie Haina time limit Kwa maana Hadi pale Dunia itakapotamatika,hivyo Kwa Leo pamoja na Wanawake kuwa wachache Bado tupo sisi marijali tunamke zaidi ya 1 na wakati huo hayupo mwanaume aliyekosa MKE eti Kwa sababu sisi marijali tumeoa 2 au 3 au 4.Bado ninahakika Quran verses Haina upinzani ktk hili.Ukirudi nyuma kama Quran isingesema je sisi marijali si tungekuwa tumeonewa kunyimwa mbumbusa zaidi ya 1 Kwa mujibu wa maandiko?