Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Hili swali mwachie mwenyewe aje ajibu,wewe unaleta porojo tuWaislam wamelipuuza agizo la quran baada ya kugundua Allah ameshindwa kuumba wanawake wengi kuliko wanaume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swali mwachie mwenyewe aje ajibu,wewe unaleta porojo tuWaislam wamelipuuza agizo la quran baada ya kugundua Allah ameshindwa kuumba wanawake wengi kuliko wanaume.
Jaribu takwimu au kuwa hata unasikiliza zile habari za idadi ya watoto wanaozaliwa kipindi Cha new year acha ubishi wa kijinga na stori za vijiweniHiyo nesi WA mchongo mkuu
Siku zote wanawake huwa wengi,ebu fuatilia hizi sherehe za krismas,mwaka mpya,Eid na uone idadi ya wanao zaliwa
Nimekutajia hayo kwakuwa ndio mara hutoa data zao
Hiyo nesi WA mchongo mkuu
Siku zote wanawake huwa wengi,ebu fuatilia hizi sherehe za krismas,mwaka mpya,Eid na uone idadi ya wanao zaliwa
Nimekutajia hayo kwakuwa ndio mara hutoa data zao
Kenya Demographics ProfileHiyo nesi WA mchongo mkuu
Siku zote wanawake huwa wengi,ebu fuatilia hizi sherehe za krismas,mwaka mpya,Eid na uone idadi ya wanao zaliwa
Nimekutajia hayo kwakuwa ndio mara hutoa data zao
Indonesia Demographics ProfileHiyo nesi WA mchongo mkuu
Siku zote wanawake huwa wengi,ebu fuatilia hizi sherehe za krismas,mwaka mpya,Eid na uone idadi ya wanao zaliwa
Nimekutajia hayo kwakuwa ndio mara hutoa data zao
Hujajibu swaliUtaruhusuje kitu ambacho mathematics hakiwezekani uoni kama ni ujuha
Hujaona takwimu zinazotambulika hapo juu? Wanaume ni wengi zaidi duniani.hapa hakuna haja ya kubishana, nenda hospital kaangalie uwiano baina ya watoto wanaozaliwa, kisha nenda mashuleni kaangalie baina ya wasichana na wavulana halafu malizia mjini kwenu kisha uje ufute hii mada.
mimi sijakuelekeza kwenye makabrasha mkuu nimekupeleka kwenye hali halisi.Hujaona takwimu zinazotambulika hapo juu? Wanaume ni wengi zaidi duniani.
Wanadamu watakuwa wamemzidi ujanja Allah?siku hizi watu wanachagua jinsia za watoto na wengi huchagua wa kiume,huko mbeleni patakua na uhaba wa wanawake,
Watakua wamejizidi ujanja wenyewe,Vita vya kugombea wake na mpukutiko wa kizazi Cha binaadamWanadamu watakuwa wamemzidi ujanja Allah?
Huko kote ulikokutaja wanaume ni wengi,hapa hakuna haja ya kubishana, nenda hospital kaangalie uwiano baina ya watoto wanaozaliwa, kisha nenda mashuleni kaangalie baina ya wasichana na wavulana halafu malizia mjini kwenu kisha uje ufute hii mada.