Kwa takwimu hizi za sensa hapa Tanzania na duniani, agizo la Quran kuoa mpaka wanawake wanne halitekelezeki

Kwa takwimu hizi za sensa hapa Tanzania na duniani, agizo la Quran kuoa mpaka wanawake wanne halitekelezeki

Hiyo nesi WA mchongo mkuu

Siku zote wanawake huwa wengi,ebu fuatilia hizi sherehe za krismas,mwaka mpya,Eid na uone idadi ya wanao zaliwa
Nimekutajia hayo kwakuwa ndio mara hutoa data zao
Jaribu takwimu au kuwa hata unasikiliza zile habari za idadi ya watoto wanaozaliwa kipindi Cha new year acha ubishi wa kijinga na stori za vijiweni
 
buccaneer Sawa mkuu Mimi napenda ukweli,,,Kwa takwimu zako nimezikubali na nimeacha ujinga na story za vijiweni

Sasa tuje kwenye swali langu la pili,kwasababu la Kwanza ulikubali kuwa kuna upungufu WA wanawake ambao hausababishwi na waislamu kuoa wake wengi.

Swali la pili

Je huo upungufu ulio usema ,umeshawahi sikia wanaume wanakosa wake wa kuoa?

Swali dogo la nyongeza
Je hapa Tanzania kumesharipotiwa upungufu WA wanawake WA kuoa kiasi kwamba wanaume WA mkoa X kwenda mkoa y kutafuta wanawake?
 
hapa hakuna haja ya kubishana, nenda hospital kaangalie uwiano baina ya watoto wanaozaliwa, kisha nenda mashuleni kaangalie baina ya wasichana na wavulana halafu malizia mjini kwenu kisha uje ufute hii mada.
 
Hujaona takwimu zinazotambulika hapo juu? Wanaume ni wengi zaidi duniani.
 
hapa hakuna haja ya kubishana, nenda hospital kaangalie uwiano baina ya watoto wanaozaliwa, kisha nenda mashuleni kaangalie baina ya wasichana na wavulana halafu malizia mjini kwenu kisha uje ufute hii mada.
Huko kote ulikokutaja wanaume ni wengi,
Ukianza na shule,
Makazini, kwenye magari ya umma na vibaruani,
Sasa hao wanawake wengi wako wapi!?
Au wako kwako umewaficha.
Panda daladala asubuhi, mchana na jioni uone waliowengi kina nani!?
Hao ndio watakupa Picha ya hidadi ya jinsia
 
Back
Top Bottom