Rais Samia mwenyewe ni legacy, unataka ajizike?Mhe rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukaliti, lugha kali na kuwadhalilosha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa...
Hskuna usitudanganye. Samia aliwekwa na akina mzee Makamba na Kikwete. Yeye alimtaka Dr. Hussein MwinyiRais Samia mwenyewe ni legacy, unataka ajizike?
Akilikoroga tunamnanga tu. Sisi hatukopeshi.Leo mtafurahia, kesho mtaanza kumponda.
Na hizo SGR,JNHP,ATCL,Masoko,Stendi kubwa kubwa,kutimua vyeti fake kama wewe na mengineyo ndio legacy yake!Mhe rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukaliti, lugha kali na kuwadhalilosha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa.
Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana.
Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
Hivi vinajengwa kwa kodi zetu. Legacy yake ni mauaji na uporaji tuNa hizo SGR,JNHP,ATCL,Masoko,Stendi kubwa kubwa,kutimua vyeti fake kama wewe na mengineyo ndio legacy yake!
My country people ππLeo mtafurahia, kesho mtaanza kumponda.
Hongera Dr. Samia kwa uamuzi mzuri. Wanasiasa watumie hiyi mikutano kwa ustaarabu
Sukuma gang wametoka kundini na wamenuna hatari. Watafanya vikao visivyo na mwisho usiku wa leoChadema wamerudi kundini
They are of all weather!My country people ππ
Mama kashasema akizingua akosolewe,ndivyo hivyo akifanya Jambo la kiungwana asifiweLeo mtafurahia, kesho mtaanza kumponda.
Hongera Dr. Samia kwa uamuzi mzuri. Wanasiasa watumie hiyi mikutano kwa ustaarabu
Hakika.Sukuma gang wametoka kundini na wamenuna hatari. Watafanya vikao visivyo na mwisho usiku wa leo
Jini jiwe alivunja katiba. Mama hakupendezwa na jambo hili.Watanzania ni shida sana. Yaani mama karuhusu mikutano ya hadhara, ambayo ilizuiliwa kinyume na Katiba ya Nchi, lakini watu wanaona kama Hisani fulani hivi.