DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Tujipange kushuhudia mapinduzi ya kisiasaJiwe na mabaki ya mawazo yake yote yametupilwa mbali na mama leo hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujipange kushuhudia mapinduzi ya kisiasaJiwe na mabaki ya mawazo yake yote yametupilwa mbali na mama leo hii
Acha kupotosha! Hakuna vifaranga vilivyochimwa airport.Naona mnajitekenya na kucheka wenyewe, vipi kuhusu vifaranga waliotelekezwa Airport. Legacy ya bibi tozo inasemaje kwa upande huo.
😄😄Na mwamba ErythrocyteHahaha sunk cost fallacy naona kasahaulika
Huyo sio chawa yule ni kunguni damu yake chafu ndio maana anasahaulika aende kwenye nyuzi za mwanza vs arushaHahaha sunk cost fallacy naona kasahaulika
Haya unayasema wewe. Mama hajasema hivyo.halafu ulivyo wa hovyo hawajagundua kua Katiba mpya haiji leo wala kesho maana wameambiwa hadi hapo hali ya nchi kiuchumi na hali halisi itakapokua sawa...
Magufuli ndiyo alikuwa anajaza maji?? Sukuma gang mtakuwa na illusion siyo bure.Legacy is something that stays permanently! Magufuli Legacy HAIWEZI KUFA NA HAITAKUFA! Kama unabisha ebu angalia crip ya Ujazaji Maji Mwalimu Nyerere Hydroelectric Power Station!
Kwa jinsi Mungu Ni wa ajabu,yule unaempuuza ndio ataweza Sasa ,just wait 👇
Ni CCM walioamua hapo awal8 na sasa wakaamua tenaRais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukaliti, lugha kali na kuwadhalilosha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa.
Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
Magu ni habari ingine Ile.Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukaliti, lugha kali na kuwadhalilosha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa.
Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
My country people [emoji3][emoji3]
Naona mpo wengi ambao hamjui ukubwa wa madaraka ya rais hapa nchini kwetuWatanzania ni shida sana. Yaani mama karuhusu mikutano ya hadhara, ambayo ilizuiliwa kinyume na Katiba ya Nchi, lakini watu wanaona kama Hisani fulani hivi.
Kwa maoni yangu, hapa hakuna chochote kilichoongezwa.
Hujaelewa nn wewe? Jiwe alivichoma moto vifaranga vikiwa hai kwa roho yake mbayakwahiyo havijafa!?
Hawaelewi chochote tunaposema katiba hii ni mbovuNaona mpo wengi ambao hamjui ukubwa wa madaraka ya rais hapa nchini kwetu
sasa unashangiliaje kukatwa tawi badala ya kung'oa mizizi!?Naona mpo wengi ambao hamjui ukubwa wa madaraka ya rais hapa nchini kwetu
Kwahiyo sasa hivi vimenyimwa matunzo vikiwa vimekufa!?Hujaelewa nn wewe? Jiwe alivichoma moto vifaranga vikiwa hai kwa roho yake mbaya
Hayo ni mapambio tu hakuna kitu!Na hizo SGR,JNHP,ATCL,Masoko,Stendi kubwa kubwa,kutimua vyeti fake kama wewe na mengineyo ndio legacy yake!
Mama Legacy yake ni Bibi Tozo na Nyasafari [emoji22]!
Tatizo ni kwamba legacy ya Jembe JPM haifutiki kamwe!
Hata wewe muandishi unalielewa hilo na ndio maana mko kijiweni mpaka saa hii.
Her Exellence Samia Vs The Late His Exellence Magufuli in oppressing opposition parties and killing democracy. Marehemu alishinda magoli 9-0, Samia atleast hata goli lake limeruhusu.Hakuna Legacy iliopotea hapo ni kwamba Upinzani na CDM wameuvaa mkenge wa CCM. Kwanza huyo unaesema legacy yake imepigwa ukiangalia kwa jicho la tatu ndie alikua anauinua upinzani. Lakini kwa sasa kwa utawala huu wa Hangaya Upinzani kwishney, wameangukia pua, mikutano ya kupangiwa cha kuongea ni kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.