UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
We unaongea kishabiki mkuu ila huko mtaani hawamuelewi Samia ni mwendo wa lawama tu.Rais Samia Suluhu anakubalika kila kona mzee ingia mtaani utaona watu wanavyomkubali mama then sio mtaani tu hata mitandaoni ukifatilia utagungua watu wameanza kumuelewa mama hasa kwa hilo tamko la jana matumaini yameongezeka