Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa.

Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
Sisi tulimpigia kura Magufuli. Sio Samia.
 
Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa.

Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
SSH ni mpango wa Mungu. Hakika baada ya yule Shetani wa Chato ambaye alikuwa anatugawa kiitikadi na kikabila, akiua na kutudanganya, tumepata kiongozi mwenye upendo, mcha Mungu na anayeipenda nchi yetu kwa dhati. Tanzania Iko salama sana mikononi mwa Samia. Hakuna mtu anatekwa wala kunyang'anywa fedha zake. Hakuna maiti zinatupwa baharini wala mtu anafukuza wafanyakazi kwa sababu za kipuuzi. Raia wanatembea kwa uhuru bila woga wa kutekwa au kuuliwa, wafanyabiashara hawana wasiwasi na fedha zao Benki. Vyombo vya dola vinafuata sheria.
 
Kwenda zako wala huelewi kitu. Sasa unaona hapo chadema wamepata nini? Kile wanachotaka ccm siku zote ndio kinaendelea. Si chini ya magufuli wala si chini ya samia. Wanaendelea kuongoza nchi kwa utulivu na kushinda majaribio ya vibaraka wa mabeberu.
Kuna CCM ya jiwe (sukuma gang) na ccm ya Samia. Jiwe pamoja na wafuasi wake wamedhalilishwa. Sijui wataficha wapi uso wao.
 
Sababu za Lema na Lisu kujibanza kwa wazungu zinadhidi kumalizwa, mikutano ya siasa imeruhusiwa, madai yote ya Lisu yamelipwa, kesi yenye kila aina ya ushahidi ya gaidi wa kuuwa viongozi wa serikali imefutwa.
Ngoja tuone kiki mpya watakayokuja nao .
Zinadhidi = Zinazidi.
Kilaza Wahedi.
 
Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa.

Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
Askari wetu hakosi ,hata mkipiga kule kwingine tutashinda tu.
 
Hakuchaguliwa. Aliiba uchaguzi (siyo kura)
Hakuna Kura zilizoibwa Magu alichaguliwa kihalali na bado wananchi wengi mpaka leo pamoja na kwamba amefariki bado wanampenda hili jambo watu kama ww bado linawatesa sana.
 
Muongeaji kwenye mikutano alikuwa Dr. Slaa hao waliobakii wote ni mabingwa wa matusi tu ila hawana hoja
 
Sababu za Lema na Lisu kujibanza kwa wazungu zinadhidi kumalizwa, mikutano ya siasa imeruhusiwa, madai yote ya Lisu yamelipwa, kesi yenye kila aina ya ushahidi ya gaidi wa kuuwa viongozi wa serikali imefutwa.
Ngoja tuone kiki mpya watakayokuja nao .
nadhani ili tuwe na tanzania njema na yenye matumaini kwa kila mmjo tusiwe na mitizamo ya KIKI na mambo kama hayo, mama ana nia ya tanzania njema yenye maridhiano, sio unayoitaka wewe ya malumbano na kuwindana
 
Hakuna Legacy iliopotea hapo ni kwamba Upinzani na CDM wameuvaa mkenge wa CCM. Kwanza huyo unaesema legacy yake imepigwa ukiangalia kwa jicho la tatu ndie alikua anauinua upinzani. Lakini kwa sasa kwa utawala huu wa Hangaya Upinzani kwishney, wameangukia pua, mikutano ya kupangiwa cha kuongea ni kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
we ulipenda ya kutukanana?!?. mi naona mama ndio unaujenga upinzani, maana sasa wanatakiwa waje na hoja za kugusa wananchi kiuchumi na kimaendeleo, waje na plan b ya kuiona tanzania ya Mhe. GWAJIMA ya miaka 100 au 150 mbele, watoke kwenye yale ya nyuma ya kuvizia makosa hata ambayo hayajatihibitishwa kesho mwembeyanga kuumbuana. Sasa hivi wanatakiwa waumize bongo sana wawe na busara kuja kutushawishi. wakija na matusi ndio wataangukia pua na meno
 
Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa.

Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
Ukweli ndiyo huo.
 
Ruksa Mzee Mwinyi aliongea hilo na kumalizana nalo kulipa Ruksa kuwa kila zama za raisi yeyote zina kitabu chake kipya

Ruksa naye kuwa na kitabu chake ns kuacha cha mtangulizi wake.Ruksa wala haihitaji kelele.Na yeye akiondoka atakayekuja ruksa kuja na kitabu chake Sio kesi.
Kuzika kitabu cha Magufuli awe nacho chake kipya sio kesi na wala kitu cha kushangaza ndani ya CCM. RAISI akishika anapewa nafasi ya kuandika kitabu chake bila kuingiliwa na Raisi aliyepita

Watanzania walio wengi wanachotaka ni matokeo chanya wanayotarajia
Ysnafikiwaje ni kazi ya Raisi aliyepo na kitabu chake kipya
 
Legacy bye bye
Ukitaka kujua kuwa JPM alikuwa Rais kweli, Kiongozi kweli, Mtu kweli, tafuta jiwe, lipake rangi kisha andika jina la JPM katika jiwe hilo.

Mlete huyo mama yako asimame pamoja na jiwe hilo halafu Watanzania wapigie kura.

Ndipo utakaposhangaa jiwe hilo linapata ushindi wa zaidi ya 85% kumshinda Bibie.
 
Back
Top Bottom