Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

Mama Mama Mama Huyo Mama mama huyo mama!

Hongera Sana Dr Chief Hangaya SSH ,hakika unaupiga mwingi.
 
Leo mtalala na viatu. Huku maridhiano kule barua kutoka ikulu na mhuri wa moto
Hakuna haja ya kulala na viatu hata kidogo. Huyo jamaa yako apunguze tu papara na aandike kwa ufasaha, na sio kuandika kama kilaza. Hukumuona kamanda wa anga akipiga makofi Ikulu leo?
 
Sababu za Lema na Lisu kujibanza kwa wazungu zinadhidi kumalizwa, mikutano ya siasa imeruhusiwa, madai yote ya Lisu yamelipwa, kesi yenye kila aina ya ushahidi ya gaidi wa kuuwa viongozi wa serikali imefutwa.
Ngoja tuone kiki mpya watakayokuja nao .
Na utu uzima wako,kwa nini haujui kuandika kiswahili?
 
Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa.

Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
Tutazikwa Chato.

Hakuna lelote lile zaidi ya Kujenga Propaganda Hasi

Magulification will go on.

Magufulians tupo Wengi tu hata mtuiite gang yeyote.

Aluta Continua.
 
Legacy ya JPM haiwezi kupotea katika uso wa Dunia hii.
Ile ilikuwa mashine tata. JPM alikuwa moto Nyuklia. Wala rushwa, Mabeberu, Mafisadi, wezi, wababaishaji, wazee wa michongo ya kihuni huni nk, JPM aliwanyoosha na wakanyooka kweli kweli.
RIP, JPM BABA YETU MPENDWA.
180286910_161396182573678_5132699788616420361_n.jpg
 
Mpumbavu kweli wewe, labda wawazike wanyonge wote, madaraja,barabara,vituo vya mabasi na watuzike watanzania wote.
 
Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa.

Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
giphy.gif
 
Legacy ya JPM haiwezi kupotea katika uso wa Dunia hii.
Ile ilikuwa mashine tata. JPM alikuwa moto Nyuklia. Wala rushwa, Mabeberu, Mafisadi, wezi, wababaishaji, wazee wa michongo ya kihuni huni nk, JPM aliwanyoosha na wakanyooka kweli kweli.
RIP, JPM BABA YETU MPENDWA.
Hakuna legacy ya kujenga barabara wala reli maana hata wengine walijenga reli. Mama anakaribia kuweka legacy yake kama atatupatia katiba mpya. Lile roboti la chattle halijaacha legacy yoyote ya kukumbukwa
 
Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa.

Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
Huyo mama ni sehemu ya dhuluma Mbona hakukemea maovu wakati wa Magufuli au hata kujiuzulu?
 
Huyo mama ni sehemu ya dhuluma Mbona hakukemea maovu wakati wa Magufuli au hata kujiuzulu?
Katiba yetu mbovu sana. Inampa rais umungu mtu.

Angefanya hayo unayoyauliza kwa roho mbaya ya yule shetani angemfyekelea mbali na asingekuwa hai muda huu.

BTW, unafahamu kuwa Samia aliwahi kutaka kujiuzulu system ikamgomea?
 
Tanzania inaweza kupata katiba mpya kwa mkono wa mwanamke (baada ya wanaume kushindwa).
 
Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa.

Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
Kwenda zako wala huelewi kitu. Sasa unaona hapo chadema wamepata nini? Kile wanachotaka ccm siku zote ndio kinaendelea. Si chini ya magufuli wala si chini ya samia. Wanaendelea kuongoza nchi kwa utulivu na kushinda majaribio ya vibaraka wa mabeberu.
 
Ni kweli haifutiki kwani mpaka leo hii tunaisoma legacy ya Adolf Hitler kwa unyama alioufanya na kwa magu ndo hivyo hivyo hakuna tafauti.
Kwani dunia inamtambua kuwa Magufuli alikuwa alikuwa alifanya unyama kama Hitler?
 
Back
Top Bottom