SSH ni mpango wa Mungu. Hakika baada ya yule Shetani wa Chato ambaye alikuwa anatugawa kiitikadi na kikabila, akiua na kutudanganya, tumepata kiongozi mwenye upendo, mcha Mungu na anayeipenda nchi yetu kwa dhati. Tanzania Iko salama sana mikononi mwa Samia. Hakuna mtu anatekwa wala kunyang'anywa fedha zake. Hakuna maiti zinatupwa baharini wala mtu anafukuza wafanyakazi kwa sababu za kipuuzi. Raia wanatembea kwa uhuru bila woga wa kutekwa au kuuliwa, wafanyabiashara hawana wasiwasi na fedha zao Benki. Vyombo vya dola vinafuata sheria.