Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

Rais Samia Suluhu anakubalika kila kona mzee ingia mtaani utaona watu wanavyomkubali mama then sio mtaani tu hata mitandaoni ukifatilia utagungua watu wameanza kumuelewa mama hasa kwa hilo tamko la jana matumaini yameongezeka
We unaongea kishabiki mkuu ila huko mtaani hawamuelewi Samia ni mwendo wa lawama tu.
 
Safi sana mama piga kazi tumecheleweshwa mnooo kama taifa zaidi ya miaka 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…