Kwa Tanzania kama pesa yako ni ya kuunga unga, usinunue gari zaidi ya Toyota, hii itakuhakikishia a good resale value

Taja gari ambalo linapanda value au ukauza kwa faida…..
 
Taja gari ambalo linapanda value au ukauza kwa faida…..
Kwa asili ya mali kama gari, simu, tv, kitanda na wakati mwingine kwa nadra sana Ardhi/nyumba hua havipandi thamani ila vinapaswa kutokupoteza thamani yake halisi kwa kiwango kikubwa sana ndani ya muda mfupi.

Kwa mfano, huwezi kununua tv ama simu leo milioni moja halafu keshokutwa ukaiuza ama thamani yake sokoni ikawa laki 2, hiyo sio tv.

Hivyo value retention ni muhimu sana unaponunua kitu chochote.
 

Gari ni asset kwa namna tofauti na unayoisemea hapa. Gari haiwezi fanana na Nyumba au Kiwanja asset wise. Gari ni sawa na simu unayoitumia au TV au Redio au friji hapo nyumbani.

Sijawahi ona mtu ananunua gari anaziweka ndani zipande thamani ili auze badae. Kama huyo mtu hayupo basi huwezi weka gari kwenye same class na nyumba na viwanja.

Gari inakuwa asset pale inapotumika kwenye kuingiza pesa kama car hire/taxi/uber n.k. wakati huo huo kuna depreciation kwenye hiyo hiyo gari.

Sasa niambie hiyo simu yako thamani yake sawa na wakati unainunua? Au televisheni au radio au friji?
 
Vipato vya watu vinaongezeka kulinganisha na miaka 20 iliyopita.

Hata consumption pattern nayo inabadilika.

Usishangae mtu anamiliki simu 2 ambazo thamani yake inakuja almost 8M au weekend anachoma 1M hapo bar. Au mwingine ananunua TV kwa 4M na ikiharibika ananunua ingine.

So, kumiliki gari tofauti na toyota manake vipato vinaruhusu. Na wengine hawanunui ili wauze, wanayaweka uwani yajifie tu.

Just admit we differ in preferences.
 
Kuna gari ambazo zinapanda thamani na muda unavyoenda..BMW hizo E30 M3..
Kuna watu wanafanya hii biashara ya kucollect gari then kuuza thamani ikipanda..!
 
Gari umenunua ajili ya kutumia sio kuuza, value pekee ya kuangalia ni value for money, hela ulioyotoa na gari ulilopata
 
Gari umenunua ajili ya kutumia sio kuuza, value pekee ya kuangalia ni value for money, hela ulioyotoa na gari ulilopata
Hii yako ni myopic view, ila holistically vitu pekee unaweza kununua kwa matumizi na matumizi pekee(whole and exclusively) ni vyombo vya ndani kama sahani, vijiko na vikombe. Ila major assets kama nyumba, gari, ardhi, viwanja hua vinanunuliwa kwa madhumuni zaidi ya moja.

Hii ni kwa sababu moja kuu, binadamu preference zake hubadilika kulingana na wakati, leo unaweza kununua gari hii, kesho utapenda muundo mpya wa gari tofauti na uliyonayo, kwa hiyo utanunua nyingine, na nyingine ikitoka ukaipenda utanunua tena na tena na tena? Jibu ni hapana hata kama wewe ni mlamba asali.

The same na nyumba, leo unaweza kujenga nyumba mtindo huu, miaka 20 ijayo ukaamua unataka mtindo mwingine na mambo kama hayo.

Anyway, huu ni ushauri tu wa bure.
 
Kuna gari ambazo zinapanda thamani na muda unavyoenda..BMW hizo E30 M3..
Kuna watu wanafanya hii biashara ya kucollect gari then kuuza thamani ikipanda..! View attachment 2427320View attachment 2427321
Naongelea kwa muktadha wa hii mada hapa.

Halafu unaongelea vitu vinavyoendeshwa na hobby. Ila in general huwezi ona kitu kama hiki kinafanywa dunia nzima. Infact unaongelea BMW ambayo inapigwa vita huku kwetu.

Nioneshe mtu anaenunua ist anaweka ndani ipande thamani kama mleta mada anavyotaka kutuaminisha.
 
Kinachoonekana hapa ni kwamba hukuelewa dhana ya kilichoandikwa na hujafanya jitihada zozote za kukusaidia uelewe na unafanya kila liwezekanalo usielewe. Hii ni changamoto.

Hakuna aliesema unanunua gari ist uiweke ndani iongezeke thamani, hakuna. Hakuna maandishi kama hayo.

Ushauri, Uwe unajitahidi kusoma mada ama jambo lolote mahala popote ulielewe kwanza kabla hujatoa maoni yako.
 
Unapotaka kununua gari kitu gani kinakuja kichwani mwako?
Je unanunua ili uuze kwa faida ?
Je unanunua kwa kuangalia wingi wa hayo magari?
Je unanua kwa sababu umependa model stylish na performance ya gari given that uwezo wa kununua unao?

Mimi binafsi nanunua gari kutokana na preference zangu , sijawahi kununua gari for the purpose ya kuliuza given that sijawahi kununua gari alafu nikaliuza kwa faida ya zaidi niliyolinunulia

Ushauri kwa mtoa mada kama unahitaji profit vipo Vingi vya kununua kama Shamba
Gari ni like gadgets primary goal ni kulitumia kuuza ni secondary
Na pia me naona nunua gari durable ambalo utakaa nalo muda mrefu ili ufanye mambo mengine ya kukuletea kipato sio unakaa na gari mwaka eti unauza then uagize lingine , kwa hizo akili ndo maana pesa yetu inazidi kushuka thamani over the USD tunaagiza vitu Virginia nje unnecessary na magari ni mojawapo
 

Hawa graduate hawawezi kukuelewa, but they will as they age...
 
Mimi binafsi nanunua gari kutokana na preference zangu , sijawahi kununua gari for the purpose ya kuliuza given that sijawahi kununua gari alafu nikaliuza kwa faida ya zaidi niliyolinunulia
Hujawahi kununua gari kwa ajili ya kuuza, halafu unasema uliuza gari si zaidi ya pesa uliyonunulia, sasa uliuza la nini? Si ungeliacha tu hapo likae hadi lioze ama ulitupe barabarani watu waokote ama uligawe, uliuza na uka realize some residual value iliyokua bado kwenye hiyo gari.

Kwa kukusaidia kidogo, binadamu kwa asili ni loss avoiders kwa kitalaamu tunaita Loss aversiveness, hakuna binadamu anafanya kitu kwa ajili ya kupata hasara baadae, hakuna ha hayupo.

Hata kama kitu hujakinunua sasa kwa ajili ya kuuza baadae, with time and change of preferences, binadamu hutaka ku-gain some retained value ya kile kitu iwapo ataona hakihitaji tena.

Ndio maana wewe pamoja na kua hukununua gari ili uiuze ile baadae uliiuza, hukuitupa ama hukuigawa ama kuitelekeza barabarani watu waokote.

Kwa msingi huo wa loss aversiveness habits of a human nature, na kwa kuangalia mazingira ya Tanzania, kununua brand car nje ya toyota ni kujitakia presha.

Kwa kusisitiza hakuna mahala nimesema unanunua gari ili ipande thamani upate faida, sijasemea faida, nimezungumziq value retention.

Shida nayoiona humu ana ambayo pia ni ya watanzania wengi, hawasomi kitu na kikielewa.
 
We upeo wako wa kufikiri umeishia hapo , na sio lazima usemacho ndo kiwe sheria , me Dikashwa nikiamua kununua gari wazo langu la kwanza ni kulitumia siwezi kuacha gari ninalolipenda kulinunua given uwezo ninao kwa hofu tu ya kukosa wa kulinunua nikishalikinai me mbona sijaona magari ambayo sioToyota yaliyotumika yanauzwa laki 5 compared na
hizo unazosifia Brevis ,crown, verossa sio Toyota je resale value yake ipoje?
 
Wewe akili huna, kuna mahala mimi nimesifia Brevis, crown? Unajua kusoma vizuri? Hata darasa la saba ulimaliza kweli? Ulisoma kipindi gani, kile cha mitihani ya darasa la nne imefutwa ama kipi? Ulifaulu vipi kwenda darasa la 5?

Una uhakika kua Verosa, Crown, Brevis sio Toyota?

Nimegundua najenga hoja kwa matoto ya division five, zero brain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…