Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Hizo zilikuwa gari za kwenda na wakati, ukipita na zenyewe zinakosa sokoMbona crown na mark x ni Toyota lakini resale value ni ndogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo zilikuwa gari za kwenda na wakati, ukipita na zenyewe zinakosa sokoMbona crown na mark x ni Toyota lakini resale value ni ndogo
Taja gari ambalo linapanda value au ukauza kwa faida…..Ni ngumu kuelewa kama huna abc za masuala ya fedha.
Ni utaahira kumiliki mali ambayo haiongezeki thamani ama ambayo thamani yake inaweza kuanguka ghafla na ukapata hasara kama sio kufilisika.
Hebu tuangalie upande mwingine angalau kupanua akili yako, assume usinunue gari ukanunua hisa za kampuni, je utanunua hisa za kampuni ambayo hisa zake haziuziki ama baada ya kununua zikashuka thamani kubwa na ukaapata hasara? Jibu liko obvious huwezi kufanya hivyo.
Kwa mantiki hiyo, hisa zina tofauti gani na gari? Zote ni mali zako ila ziko katika mitindo/forms tofauti tofauti. Mali ama assets ziwe cash ama liquid assets, majengo, gari, ardhi nk zote kazi yake ni moja tu, unaziweka ziongezeke ama zisipoteze thamani sana ukaja kupata hasara.
Elon musk tajiri namba moja Duniani alichukua mkopo kwa ajili ya kununua twitter kwa kutumia hisa zake za tesla, sasa kama hisa hizo zingekua zimeshuka thamani nani angempa mkopo kwa hisa zisizo na thamani?
Hii ni common sense tu, uamue uitumie ama lah ni maamuzi yako.
Kwa asili ya mali kama gari, simu, tv, kitanda na wakati mwingine kwa nadra sana Ardhi/nyumba hua havipandi thamani ila vinapaswa kutokupoteza thamani yake halisi kwa kiwango kikubwa sana ndani ya muda mfupi.Taja gari ambalo linapanda value au ukauza kwa faida…..
Ni ngumu kuelewa kama huna abc za masuala ya fedha.
Ni utaahira kumiliki mali ambayo haiongezeki thamani ama ambayo thamani yake inaweza kuanguka ghafla na ukapata hasara kama sio kufilisika.
Hebu tuangalie upande mwingine angalau kupanua akili yako, assume usinunue gari ukanunua hisa za kampuni, je utanunua hisa za kampuni ambayo hisa zake haziuziki ama baada ya kununua zikashuka thamani kubwa na ukaapata hasara? Jibu liko obvious huwezi kufanya hivyo.
Kwa mantiki hiyo, hisa zina tofauti gani na gari? Zote ni mali zako ila ziko katika mitindo/forms tofauti tofauti. Mali ama assets ziwe cash ama liquid assets, majengo, gari, ardhi nk zote kazi yake ni moja tu, unaziweka ziongezeke ama zisipoteze thamani sana ukaja kupata hasara.
Elon musk tajiri namba moja Duniani alichukua mkopo kwa ajili ya kununua twitter kwa kutumia hisa zake za tesla, sasa kama hisa hizo zingekua zimeshuka thamani nani angempa mkopo kwa hisa zisizo na thamani?
Hii ni common sense tu, uamue uitumie ama lah ni maamuzi yako.
Vipato vya watu vinaongezeka kulinganisha na miaka 20 iliyopita.Watanzania wengi tuna attitude ya kutaka kuonekana tuko rich wakati ni makapuku [emoji23] matokeo yake ndio kujitutumua.
Gari za Toyota kuanzia 2015 ziko equipped na Safety features na preventive maintanance package ya Toyota Sense. Ina driver assistance kama lane departure, auto beams, Kdss, pedestrian sensors, 360 view na makorokoro kibao.
Tatizo tunanunua Rav 4 massawe za mwaka 1998 halafu tunataka kuzi compare na gari za 2009 yani miaka 10 mbele.
Kuna gari ambazo zinapanda thamani na muda unavyoenda..BMW hizo E30 M3..Gari ni asset kwa namna tofauti na unayoisemea hapa. Gari haiwezi fanana na Nyumba au Kiwanja asset wise. Gari ni sawa na simu unayoitumia au TV au Redio au friji hapo nyumbani.
Sijawahi ona mtu ananunua gari anaziweka ndani zipande thamani ili auze badae. Kama huyo mtu hayupo basi huwezi weka gari kwenye same class na nyumba na viwanja.
Gari inakuwa asset pale inapotumika kwenye kuingiza pesa kama car hire/taxi/uber n.k. wakati huo huo kuna depreciation kwenye hiyo hiyo gari.
Sasa niambie hiyo simu yako thamani yake sawa na wakati unainunua? Au televisheni au radio au friji?
Gari umenunua ajili ya kutumia sio kuuza, value pekee ya kuangalia ni value for money, hela ulioyotoa na gari ulilopataKwa asili ya mali kama gari, simu, tv, kitanda na wakati mwingine kwa nadra sana Ardhi/nyumba hua havipandi thamani ila vinapaswa kutokupoteza thamani yake halisi kwa kiwango kikubwa sana ndani ya muda mfupi.
Kwa mfano, huwezi kununua tv ama simu leo milioni moja halafu keshokutwa ukaiuza ama thamani yake sokoni ikawa laki 2, hiyo sio tv.
Hivyo value retention ni muhimu sana unaponunua kitu chochote.
Hii yako ni myopic view, ila holistically vitu pekee unaweza kununua kwa matumizi na matumizi pekee(whole and exclusively) ni vyombo vya ndani kama sahani, vijiko na vikombe. Ila major assets kama nyumba, gari, ardhi, viwanja hua vinanunuliwa kwa madhumuni zaidi ya moja.Gari umenunua ajili ya kutumia sio kuuza, value pekee ya kuangalia ni value for money, hela ulioyotoa na gari ulilopata
Hizi gari zimejaa SouthafricaKuna gari ambazo zinapanda thamani na muda unavyoenda..BMW hizo E30 M3..
Kuna watu wanafanya hii biashara ya kucollect gari then kuuza thamani ikipanda..! View attachment 2427320View attachment 2427321
E30 316 318 320 323 325 hizo ndio zimejaa huko..Hizi gari zimejaa Southafrica
Wenyewe wanaziita Gusheshe
Utafikiri gari limetengenezwa (kuundwa) hapa nchini😀😀Uko sahihi kabisa una nunua gari na huwezi kupata spea yake hadi uagize nje ya nchi
Naongelea kwa muktadha wa hii mada hapa.Kuna gari ambazo zinapanda thamani na muda unavyoenda..BMW hizo E30 M3..
Kuna watu wanafanya hii biashara ya kucollect gari then kuuza thamani ikipanda..! View attachment 2427320View attachment 2427321
Ni Poverty MentalityMaraia wa JF wanamambo sana hivi unanunua gari ili uje kuuza? Haya mawazo sio afya ni mentality ya kitozo tozo
Kinachoonekana hapa ni kwamba hukuelewa dhana ya kilichoandikwa na hujafanya jitihada zozote za kukusaidia uelewe na unafanya kila liwezekanalo usielewe. Hii ni changamoto.Naongelea kwa muktadha wa hii mada hapa.
Halafu unaongelea vitu vinavyoendeshwa na hobby. Ila in general huwezi ona kitu kama hiki kinafanywa dunia nzima. Infact unaongelea BMW ambayo inapigwa vita huku kwetu.
Nioneshe mtu anaenunua ist anaweka ndani ipande thamani kama mleta mada anavyotaka kutuaminisha.
Kwa Tanzania kama uchumi wako sio wa walamba asali, wala keki ya taifa usinunue brand nyingine ya gari zaidi ya Toyota.
Kununua Toyota ni kujihakikishia uwepo wa wateja na pia kupata thamani nzuri ya gari yako pale utakapoamua kuiuza.
Kuna watu wapumbavu huwa wanauliza eti kwani unanunua gari ili kuuza? Jibu ni ndio. Mali/asset yoyote unayomiliki iwe gari, nyumba, simu, kutanda, TV nk kazi yake ni 2 tu, kwanza kukupa ama kukidhi hitaji la matumizi yako kwa wakati huo lakini pia ni back yako pale utakapokuwa umeyumba kiuchumi ama kuhitaji mtaji zaidi kwenye shughuli zako na ukaona huna sababu ya kwenda kwenye taasisi za fedha kuchukua mkopo kuendelea na shughuli zako, so zina serve purpose 2 tu.
Siku zote ulichonacho ndio cha kwanza kukusaidia kufanikisha jambo lako.
Sasa kwa ushauri wangu, kama unataka uhakika wa kupata wateja ama kuhakikisha hupotezi sana thamani ya pesa yako(value retention) basi nunua Toyota.
Hizi car brand nyingine nunua ila at your own risk. Nikiwa na maana kwamba zinaweza kuuzika ila resale value yake ikawa ndogo sana kuliko kama ungekuwa na gari ya Toyota.
Karibu Doha, Qatar tuangalie WC.
Hujawahi kununua gari kwa ajili ya kuuza, halafu unasema uliuza gari si zaidi ya pesa uliyonunulia, sasa uliuza la nini? Si ungeliacha tu hapo likae hadi lioze ama ulitupe barabarani watu waokote ama uligawe, uliuza na uka realize some residual value iliyokua bado kwenye hiyo gari.Mimi binafsi nanunua gari kutokana na preference zangu , sijawahi kununua gari for the purpose ya kuliuza given that sijawahi kununua gari alafu nikaliuza kwa faida ya zaidi niliyolinunulia
We upeo wako wa kufikiri umeishia hapo , na sio lazima usemacho ndo kiwe sheria , me Dikashwa nikiamua kununua gari wazo langu la kwanza ni kulitumia siwezi kuacha gari ninalolipenda kulinunua given uwezo ninao kwa hofu tu ya kukosa wa kulinunua nikishalikinai me mbona sijaona magari ambayo sioToyota yaliyotumika yanauzwa laki 5 compared naHujawahi kununua gari kwa ajili ya kuuza, halafu unasema uliuza gari si zaidi ya pesa uliyonunulia, sasa uliuza la nini? Si ungeliacha tu hapo likae hadi lioze ama ulitupe barabarani watu waokote ama uligawe, uliuza na uka realize some residual value iliyokua bado kwenye hiyo gari.
Kwa kukusaidia kidogo, binadamu kwa asili ni loss avoiders kwa kitalaamu tunaita Loss aversiveness, hakuna binadamu anafanya kitu kwa ajili ya kupata hasara baadae, hakuna ha hayupo.
Hata kama kitu hujakinunua sasa kwa ajili ya kuuza baadae, with time and change of preferences, binadamu hutaka ku-gain some retained value ya kile kitu iwapo ataona hakihitaji tena.
Ndio maana wewe pamoja na kua hukununua gari ili uiuze ile baadae uliiuza, hukuitupa ama hukuigawa ama kuitelekeza barabarani watu waokote.
Kwa msingi huo wa loss aversiveness habits of a human nature, na kwa kuangalia mazingira ya Tanzania, kununua brand car nje ya toyota ni kujitakia presha.
Kwa kusisitiza hakuna mahala nimesema unanunua gari ili ipande thamani upate faida, sijasemea faida, nimezungumziq value retention.
Shida nayoiona humu ana ambayo pia ni ya watanzania wengi, hawasomi kitu na
Wewe akili huna, kuna mahala mimi nimesifia Brevis, crown? Unajua kusoma vizuri? Hata darasa la saba ulimaliza kweli? Ulisoma kipindi gani, kile cha mitihani ya darasa la nne imefutwa ama kipi? Ulifaulu vipi kwenda darasa la 5?We upeo wako wa kufikiri umeishia hapo , na sio lazima usemacho ndo kiwe sheria , me Dikashwa nikiamua kununua gari wazo langu la kwanza ni kulitumia siwezi kuacha gari ninalolipenda kulinunua given uwezo ninao kwa hofu tu ya kukosa wa kulinunua nikishalikinai me mbona sijaona magari ambayo sioToyota yaliyotumika yanauzwa laki 5 compared na
hizo unazosifia Brevis ,crown, verossa sio Toyota je resale value yake ipoje?
Gari za 'kimaskini' ndio zina resale value kubwa kwasababu masikini wengi ndio wahitaji wa magari hayo(hasa yenye engine ndogo). Ndio maana used Crown ni cheaper kuliko used IST.Mbona crown na mark x ni Toyota lakini resale value ni ndogo