Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matapeli ,pinga utapeli na uongo ili wajinga kama nyie msije kuingia mkenge.Sasa wewe kina kuuma nini mimi kutapeliwa? Pesa ni yako au ya mama yako? Haya nitumie namba ya Mazinge au Sharif Majini maana yeye sio tapeli. Pumbavu kabisa wewe maamuma.
Mwenyewe siamini hizo mambo ila miaka ya 2000 kuna mama jirani yetu sauti yake ilipotea kimuujiza. Yaani alikua mtu anayeweza kuongea then sauti ikapotea Kwa miaka...siku moja kakobe akaja kwenye mkutano wa injili yule mama aliongea. Na tunajua alikua na Hilo tatizo kwa miaka mingi.... Hivi vitu vinachanganya sanaNi meishia kusoma pale nilivo ona kwamba ulipeleke maombini, ni ka kuona kijana mpuuzi, ingekua hivo hata kwenye theater za hospitali kungekua na maombezi tu,........mtoto wakiume anae amini maombezi ya walokole ana vyashilia vya jinsia ya kike. "Soul diseases are treated spiritually and physical diseases are treated biologically" don't mixup things plz nyie walokole mna kua na wrong absolute belief kitu ambacho ni hatari katika jamii zetu za kiafrica
Unanipotezea muda we ngumbaru. Byeeeee ngoja tuendelee shuhudia yale makuu ambayo Mungu ametutendea we Mumiani endelea na mambo yako.Matapeli ,pinga utapeli na uongo ili wajinga kama nyie msije kuingia mkenge.
Sio ni script ni utapeli mtupu .!!🤣🤣
Acha ujuaji wa kipuuzi wewe unazani ukiongea kingereza ndio utaonanekana umetoa point? ingekuwa hivo hao madaktari wasingekuwa na imani sasaNi meishia kusoma pale nilivo ona kwamba ulipeleke maombini, ni ka kuona kijana mpuuzi, ingekua hivo hata kwenye theater za hospitali kungekua na maombezi tu,........mtoto wakiume anae amini maombezi ya walokole ana vyashilia vya jinsia ya kike. "Soul diseases are treated spiritually and physical diseases are treated biologically" don't mixup things plz nyie walokole mna kua na wrong absolute belief kitu ambacho ni hatari katika jamii zetu za kiafrica
Sauti imepotea kimiujiza?🤣🤣🤣ni script kabisa .Mwenyewe siamini hizo mambo ila miaka ya 2000 kuna mama jirani yetu sauti yake ilipotea kimuujiza. Yaani alikua mtu anayeweza kuongea then sauti ikapotea Kwa miaka...siku moja kakobe akaja kwenye mkutano wa injili yule mama aliongea. Na tunajua alikua na Hilo tatizo kwa miaka mingi.... Hivi vitu vinachanganya sana
Havichanganyi, ukiacha watu kupinga na kuponda ila Mungu wa wakristo ni kweli na ana nguvu ya kutenda achana na lile jiwe jeusi ndio wanaoponda humu wakiamini ni utapeli.Mwenyewe siamini hizo mambo ila miaka ya 2000 kuna mama jirani yetu sauti yake ilipotea kimuujiza. Yaani alikua mtu anayeweza kuongea then sauti ikapotea Kwa miaka...siku moja kakobe akaja kwenye mkutano wa injili yule mama aliongea. Na tunajua alikua na Hilo tatizo kwa miaka mingi.... Hivi vitu vinachanganya sana
Kataa matapeli 🤣🤣🤣hakuna shuhuda za kweli maana tunao wengi hapa tunachangia pesa za matibabu ..Unanipotezea muda we ngumbaru. Byeeeee ngoja tuendelee shuhudia yale makuu ambayo Mungu ametutendea we Mumiani endelea na mambo yako.
Hivi wewe na huyu jamaa mleta uzi nani ni mpuuzi asee.Ni meishia kusoma pale nilivo ona kwamba ulipeleke maombini, ni ka kuona kijana mpuuzi, ingekua hivo hata kwenye theater za hospitali kungekua na maombezi tu,........mtoto wakiume anae amini maombezi ya walokole ana vyashilia vya jinsia ya kike. "Soul diseases are treated spiritually and physical diseases are treated biologically" don't mixup things plz nyie walokole mna kua na wrong absolute belief kitu ambacho ni hatari katika jamii zetu za kiafrica
Acha kumtetea huyo tapeli mleta Uzi wewe ,hatudanganyiki!!Hivi wewe na huyu jamaa mleta uzi nani ni mpuuzi asee.
Watu mnajifanyaga machinoo Ila mbulula tu.
Siku hizi kuna vijana hasa wa kiume wana makasiriko na wivu wa ajabu kabisa.Humu Kuna wagonjwa wa akili wengi,yaan humjui mtu kaja na mkasa wake afu unaanza kubisha,mnacho bisha nn Sasa?Wachawi hebu punguzen hasira mkisikia Mambo ya Mungu mbona mnaungua ivyo?.🔥🔥🔥🔥 mshindwe na mteketee
Nikipata tatizo kubwa, mfano changamoto ya magonjwa yaliyoshindikana hospital mtu wa dini akaniponya, nitaamini anachoamini.Aisee bora uache kukashifu watu hayajakukuta matatizo wewe siku yakikupata utatafuta njia zote duniani bila kujali dini,kabila,kipato n.k