Ni kweli mkuu, mimi kila nikifuatilia hoja zao sisikii la maana linalozungumzwa. Nilidhani wataongelea kero zinazowahusu Wananchi kutegemea na eneo husika lkn ni utumbo mtupu wanaongeaNimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Utaweweseka hadi upate kifafa! Kama haina tija unafuatilia ya nini? Wananchi wanahitaji mikutano, sio lazima we kibetina ikuhusu. We tulia, endelea na maisha yako. Hofu yenu, hamuwezi siasa za majukwaan tena, mnateseka jinsi ambavyo hamna la kusema kwenye majukwaa ndo maana mnataka na wenzenu wakae kimya! Tulieni hivyo hivyo maana siasa za ushindani hamna uwezo nazoNimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Maji mtayaita mmma hata iweje! Siasa za ushindani mmeshindwa mnataka na wenzenu wakae kimya...Ni kweli mkuu, mimi kila nikifuatilia hoja zao sisikii la maana linalozungumzwa. Nilidhani wataongelea kero zinazowahusu Wananchi kutegemea na eneo husika lkn ni utumbo mtupu wanaongea
Naunga mkono hojaNimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Tulijua tu kwamba kwa Ile mikutano ya Chadema kanda ya ziwa lazima tamko litoke kwa ChawaNimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Naunga mkono hoja...
Wasiipige mikutano marufuku. Acha mvua inyeshe ili 2025 tujue panapovuja ni wapi i.e. tujue pumba ni akina nani na mchele ni naniNimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Kila siku nawaambiaga umewahi sikia hoja yeyote ya Maendeleo kutoka Chadema zaidi kutukana,kulalamika,kuponda na kupotosha watu?Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Magufuli alikuwa ni Dikteta mpumbavu ndiyo maana alifuta mikutano ya vyama vya upinzani. Haya mambo yapo kikatiba na ukitaka kuyafuta kaanzie Bungeni kubadili sheria.Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Siasa nayo ni kazi hivyo waache mikutano iendelee ili hiyo kazi ya siasa iendeleeVipigwe marufuku tu, kazi iendelee