Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile kilikuwa chuma na nchi ilituliaMagufuli alikuwa ni Dikteta mpumbavu ndiyo maana alifuta mikutano ya vyama vya upinzani. Haya mambo yapo kikatiba na ukitaka kuyafuta kaanzie Bungeni kubadili sheria.
Hatutaki turudi kwenye ule UHAYAWANI wa Magufuli, tumeufukia kama tulivyomfukia yeye mwenyewe Chato
Mungu anaenda kukufuta ndani ya uso Dunia , tunza hii, hii nchi sio ya baba au mama yako, kiapo ni kiapo iwe kwa miungu ,Mungu , au makabaliano yoyote katika nchi mfano katiba ,Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Kwa hiyo mikutano yenye tija ni ile inayosifia viongozi wa CCM na serikali? Kwamba fedha za maendeleo zimetolewa na Samia!Haina tija
Hiki ulichokiandika ndo kinapaswa kupigwa marufuku na kukemewa na wote wenye akili timamu, wapenda amani, haki, wajibu na maendeleo.Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Huwezi kusema nchi ilitulia wakati watu walikuwa wanauliwa na kutupwa baharini wakiwa ndani ya viroba, wabunge walikuwa wanapigwa risasi bungeni na wafanyabiashara walikuwa wananyang'anywa fedha zao.Kile kilikuwa chuma na nchi ilitulia
akitajwa we unaumia sehemu gani ya mwili wako,Ni lazima umtaje mwendazake?
furahisha kumedoda, hakuna watu, ni wachache sanaleo ndio watajinyonga kabisa pale furahisha ni hatari.
Alitegemea kusikia neno anaupiga mwingi kalikosa kila mkutano ni spana tupu, mbaya zaidi watu wanalipa nauli zao bila kusombwa hili jambo limemkwaza sana mwananzengo.Mfano wa mambo matatu yenye kwako ambayo ungependa yazungumziwe na vyama vya siasa ni yapi??
Badili katiba. Unaogopa nn mikutano? Au we Ni wale wa mchongo.Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Nani kauza bandari? Leta risiti hapa tuone!! Mnaropoka jazba zenu tu hapaHata kama kusingelikuwa na mikutano ila bandari zetu zisingeliuzwa na hazitauzwa