Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Sina idea yeyote ya safar ktk Kanda zingn boss mi najua kaskazini na huku Pwani, 😁😁 nlikuw naona gari inatoka mwanza inaenda Moshi inaitwa mgamba imezeeka zeekaHilo la uchakavu ondoa maana Kuna maeneo huwa mabasi ni chakavu Sana na ni kampuni moja tu mfano mwanza sumbawanga ni kampuni ya RUCHORO tu ndo hufanya safari hizo....mabasi yake Sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm dar to kaskazini shwaaaaaaah hii hapa hata abiria wake hawana majonzi safarini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyuso zao Zina nuru
Hahaaaa....sawa mkuu Kuna maeneo unakuta tajiri ni mmoja tu na gari ni mbili.....zinapokezana yaani ni spana mkononiSina idea yeyote ya safar ktk Kanda zingn boss mi najua kaskazini na huku Pwani, 😁😁 nlikuw naona gari inatoka mwanza inaenda Moshi inaitwa mgamba imezeeka zeeka
Safari niliyozoea kutumia masaa 6 hadi 7 nikatumia masaa 9Ilikuaje kaka
Dodoma nikikosa shabiby bas MACHAME INVESTMENT ni moto mwngn ukisamama nchele ukitembea nchale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli
Abiria wake huruma hawatii
Gari siyo ya kinyonge Ile
Kwanza kuanzia nje nzuri balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hz Mwanza Moshi ni gati mpya tu na luxury [emoji3]Sina idea yeyote ya safar ktk Kanda zingn boss mi najua kaskazini na huku Pwani, [emoji16][emoji16] nlikuw naona gari inatoka mwanza inaenda Moshi inaitwa mgamba imezeeka zeeka
Nahis miundombinu itakua siyo rafiki sana, au uchache wa abiriaHahaaaa....sawa mkuu Kuna maeneo unakuta tajiri ni mmoja tu na gari ni mbili.....zinapokezana yaani ni spana mkononi
[emoji3][emoji3] kwa nn usiende hadi Mpanda then Mpanda ukamalizia kwenda Swax na gari za Mpanda Mbeya au Mpanda SwaxHilo la uchakavu ondoa maana Kuna maeneo huwa mabasi ni chakavu Sana na ni kampuni moja tu mfano mwanza sumbawanga ni kampuni ya RUCHORO tu ndo hufanya safari hizo....mabasi yake Sasa.
Magari gani Mwanza Moshi saiv yapo hotSiku hz Mwanza Moshi ni gati mpya tu na luxury [emoji3]
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Akiunganisha route hvo haitakua gharama sana? Vp haitaaathir mda wa kufika[emoji3][emoji3] kwa nn usiende hadi Mpanda then Mpanda ukamalizia kwenda Swax na gari za Mpanda Mbeya au Mpanda Swax
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Nyehunge ExpressMagari gani Mwanza Moshi saiv yapo hot
Mie nikikosa Shabiby naahirisha SafariDodoma nikikosa shabiby bas MACHAME INVESTMENT ni moto mwngn ukisamama nchele ukitembea nchale
Yeah,ni option nzuri Ila mie huwa naelekea tunduma so naona option ya kupunguza safari kwa kulala swax ili kwenda border iwe kama kumsukuma mlevi.[emoji3][emoji3] kwa nn usiende hadi Mpanda then Mpanda ukamalizia kwenda Swax na gari za Mpanda Mbeya au Mpanda Swax
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Ukipanda Gari Za Mwanza Mpanda mfano Allys Star, Nyehunge, au Premier unafika Mpanda Saa 10 jioni au 11 then unaunganisha na basi za Mpanda Sumbawanga zile mini busesAkiunganisha route hvo haitakua gharama sana? Vp haitaaathir mda wa kufika
Kama tu safari ya Mbeya Mwanza nipo radhi nipande basi hadi Dodoma then kesho yake nipande Dodoma Mwanza ila sio moja kwa moja na yale magari ya Mwanza MbeyaYeah,ni option nzuri Ila mie huwa naelekea tunduma so naona option ya kupunguza safari kwa kulala swax ili kwenda border iwe kama kumsukuma mlevi.
Safari ndefu huwa nahisi kufwa njiani kwa uchovu.Yeah,ni option nzuri Ila mie huwa naelekea tunduma so naona option ya kupunguza safari kwa kulala swax ili kwenda border iwe kama kumsukuma mlevi.
Asante rabi namba A Ila inamwaga moto. Ukiipanda hiyo gari unauwakika wa safari na Kuwait kufikaHujakutana na hizi namba [emoji3][emoji3] AVA, BAX, ATH za Asante Rabi au AQK, AQN, BVA, etc za KILIMANJARO EXPRESS[emoji3]
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Na ndani ipo comfortable sanaAsante rabi namba A Ila inamwaga moto. Ukiipanda hiyo gari unauwakika wa safari na Kuwait kufika
Aiseeee! Pole sana sijawahi jutia safari yeyote mpaka dakika hii hua na tabia ya kuandaa mazingira na kujiandaa mapema na hua naangalia gar gani?Safari niliyozoea kutumia masaa 6 hadi 7 nikatumia masaa 9
Nauli kubwa halaf i got nothing ndani wakati ABC kwa nauli pungufu ya hapo lkn nilipata vingi [emoji2] though sio necessary ila kutumia masaa 9 was the worst experience ever
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Anhaaa kumbe sio mbali sanaUkipanda Gari Za Mwanza Mpanda mfano Allys Star, Nyehunge, au Premier unafika Mpanda Saa 10 jioni au 11 then unaunganisha na basi za Mpanda Sumbawanga zile mini buses
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app