Kwa tunaosafiri na mabasi, ni vitu gani huvizingatia kabla ya kufanya maamuzi ya kusafiri na basi husika

Hizi vigezo na masharti [emoji2][emoji2][emoji2] sasa kuna kampuni hazina namba E ila zipo poa sana utafanya nn sasa

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Dah, hapo mzee nitacheki vigezo vingine ila nishapanda gari nikakuta kunguni man. Aisee.

Pia kuna magari yana reputation nzuri sana ata yakiwa namba za mbali sio mbaya.

Mfano, kipindi Stend ya Mabasi Dar bado ipo Ubungo bwana nilitaka kwenda Moro. Nafika pale nakuta Abood ndio anatoka ameshajaa. Wakasema linakuja jingine. Ila pembeni kuna BM. Zaidi ya nusu seat zina watu na nikaambiwa zingine zimeshachukuliwa zimebaki seat nane tu waamshe, wengine wapo nje wanasubiri dere aondoe.

Nikaona kupanda Abood inayotegemewa kuja ndani ya dakika 5 jau. Nikakata BM

Oya, ziliondoka Abood 3 mi nipo hapo nasubiria hao watu waliosema nane aisee.
 
Niko tofauti na wewe.

Mimi gari yoyote ambayo haina mziki sipandi kabisa

Napenda sana mziki hasa ziki la gari
 
ndani ya chuma kwanza kuna kuku, bata, mbuzi. abiria bidhaa zetu tunanunua ni mahind ya kuchemsha mayai ya kuchemsha, makande abiria 50 ila chuma ina 60 mafund kama wa3 hivi mda wote spana mkononi maji begani, suka kavaa kikapelo upande au pama tv moja, chuma injini ya scania plate no AAB, oya inamwaga moto mwendo wa ngiri mkia juu honi kama vinanda ukishuka stend mwekenduu inabidi ukaoge kwanza MSAFIRI KAFIRI.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] comrade you let us down

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Moro Dar Abood is the best kwa hapo kapateka ni kama watu wamechanjiwa abood

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Nlishazoeaga zile Costa za Moshi Arusha na babati Arusha aisee siku hyo nlipanda shabiby kwanza nikaanza kuona maeneo yameanza kua na view ya kitofauti sana ila kusafiri Raha sana ila isiwe kwa jambo baya
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mazingira yanabadilika tena duh.... binafsi hata Arusha Moshi niko radhi nisubr basi kubwa sio coaster

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mazingira yanabadilika tena duh.... binafsi hata Arusha Moshi niko radhi nisubr basi kubwa sio coaster

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Ile njia kutoka kisongo mpaka Moshi ina network 4G+ afu upande shabiby 🤣🤣🤣hakyamungu hasira za kukosa ajira zinaisha zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…