Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

Hakuna mabaya yasiyo na mwisho walikuwepo akina Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, chiluba, mabutu, Abacha, Elbashiri, Iddy Amin Dada wapo wapi sasa?
 
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho walikuwepo akina Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, chiluba, mabutu, Abacha, Elbashiri, Iddy Amin Dada wapo wapi sasa?
Mbona unaowaongelea wengine utadhani wewe una tiketi ya kuishi milele,tulia huu ni utawala wa CCM na CHADEMA tutaaza kuwafikiria kuiongoza hii nchi baada ya vizazi vitano kuanzia mtoto atakayezaliwa mwaka 2100
 
Mimi huenda nabishana na mtu mwenye matatizo ya akili si kwa pumba kama hizi mkuu
Wewe mwenyewe pumba Akili huna inashangaza hujajijua kuwa huna Akili timamu pengine Bangi zimekuzidi kichwani
 
hata lowassa walikuwaga wanasema hivyo pia
Mwaka 2015 watanzania hawakuwa na mateso wanayopata sasa mwaka 2020 watumishi wa umma wana miaka mitano pasipo nyongeza ya mshahara, kuna uonevu unyanyasaji mwingi kubambikiwa kesi, na ubaya kibao
 
Mwaka 2015 watanzania hawakuwa na mateso wanayopata sasa mwaka 2020 watumishi wa umma wana miaka mitano pasipo nyongeza ya mshahara, kuna uonevu unyanyasaji mwingi kubambikiwa kesi, na ubaya kibao
siyo kweli yaani watanzania sijui mnataka mfanyiwe nini mbona maishaa yamekuwa rahisisana kipindi hiki kulikoawali tatizo mnataka hela bila kufanya kazi
 
yaani wewe ni mweupe sana
 
siyo kweli yaani watanzania sijui mnataka mfanyiwe nini mbona maishaa yamekuwa rahisisana kipindi hiki kulikoawali tatizo mnataka hela bila kufanya kazi
Watumishi wanafanya kazi Mbona hizo hela za nyongeza hawazioni?
 
Watumishi wanafanya kazi Mbona hizo hela za nyongeza hawazioni?
hakuna kitu kikubwa kama kudhibiti mifumuko ya hovyo ya bidhaa hiyo inayoongezeka kwenye mshaharainakuwa inaishia kwenye ongezeko la bidhaa na haitosh bora kubaki na mshahara wa zamani kuliko nyongeza na mifumuko ya bei
 
Wee mama nadhani ume vocalize ndo maana huelewi ni kipi uchangie
Panic haishushi pressure utazidiwa ufe kwaniaba shauri yako. Ulimi nje na mnajua huyo TL kama hatoshinda sasa mnapanic nini ? Si mnyamaze kimya Kama sio upumbavu na ujinga nini kipya hapo
 
Mkuu hawa dawa yao ni kuwakutanisha kwenye mdahalo tu. Lazima Lissu atage mbele ya akili kubwa magufuli. Cdm tunataka mdahalo mleteni huyo Lissu kwenye mdahalo maguful amnyooshe
 
Lazima CCM mtage mwaka huu!! Huyo ndo mteule wa Mungu Tundu Antiphas Lissu! Mtajua hamjui mwaka huu!
Yaani wewe unaeongea huu utopolo na siku amani ya nchi hii ikipotea na lissu wako huyo ndo utaanza kutaga kabla ya wote,,
 
Kuongea na kuandika english siyo kwamba umeongea point,kama hii ni pumba
 
Kwa hiyo kwa akili yako dhaifu Nyerere aliyewaita wazungu Mabeberu, kuwa ana akili ndogo?
Hiyo misaada magu anatoa wapi,wenzako wana ubongo kichwani ila wako umewekwa matakoni
 
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada kuwapigia magoti wazungu huwaita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu wao hugeuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
 
Tunasubiri tarehe 28/10/2020 kwa hamu sana ili tumchinjie baharini msaliti Lissu ili arudi kwao Ubelgiji.
Naisubiri kwa hamu ili niwe sehemu ya kumuadhibu huyu pimbi .

Mungu atujalie uzima.
 
Za jiwe ni nini mkuu?

Kwa nyuma naona viti tupu visivyo na watuView attachment 1574610
Naona eti ana walinzi, wamevaa miwani myeusi, hawacheki kuonesha wanalinda mtu maarufu! Wanaamini atakuwa rais. Akishangiliwa anadhani ni nyongeza ya kura.
Aliporudi tu, alisimama Nairobi kusimulia COVID-19 inavyouwa watu TZ. Sasa hivi sijamuona hata siku moja akiwa na barakoa! Just a psychopathy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…