Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

Rudi tena lete propaganda nyingine, maana hii hata imegoma kabsa
 
Sina muda wa kujipendekeza kwa kibaraka wa wazungu,kazi niliyonayo inanitosha,ukumbuke kuwa Lissu kuwa rais labda jua libadili uelekeo,liwe linachomoza toka kusini kwenda kaskazini
Poleni sana mkuu, nasikia sasa hivi zile buku 7 hazitoki tena, je ni kweli au wadau wanawazushia?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Tunasubiri tarehe 28/10/2020 kwa hamu sana ili tumchinjie baharini msaliti Lissu ili arudi kwao Ubelgiji.
Kumbe Magu amekuwa ,is nani anayepokea misaada toka kwa mabeberu kuanzia hela a
Vifaa
 
Kuwa na heshima na Rais wa Watanzania huyo. Watanzania wote tunamchagua Tundu Lissu. Ndiye atakuwa Rais wa wanyonge. Wale wanyanyasaji tupilia mbali.
 
JPM hawezi kufanya midahalo na mtu mwenye faili milembe,utakuwa ni kumdhalilisha rais mteule
Jiwe anaogopa mdahalo vibaya mno, anajijua kuwa hana uwezo wa kujenga hoja. Baada ya uchaguzi huu jiwe litarudishwa kwao kuchunga ng'ombe, bahati yake Mh Lissu kasema hatolipa kisasi lakini uchunguzi wa manunuzi ya ndege lazima ufanyike

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Huna akili ya kuweza kuambulia!
 
CHADEMA maisha yenu magumu,kama mtu unafikikisha 25+ bado unawaza chai ujue kunasehemu unakwama,mimi kwa umri wangu sio mtu wa kuwaza chai tena,nawaza nifungue miradi gani itakayonipatia pesa zaidi
Mkuu mradi wanini tena wakati wewe ni Lumumba fc (Mataga)

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kama unajali sana hisia zako na afya yako ya akili, Jitahidi ukubali Lissu hawezi kushinda. Na kama leo unaweza kuwaza Lissu anaweza kushinda jee 2015 uliamini nini? na imani yako ilikuwa kwa kiwango gani wakati wa Lowassa 2015? Pole sana.
Je wajua kuwa safari hii hatumwachii Mungu? Ukombozi wa nchi siyo lazima washiriki watu wote mana kuna wale dhaifu(wewe mataga wenzio) ambao mnasubiria kuletewa ukombozi.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…