WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Kwa Matendo ya Makonda,Sabaya,Ally Happy,Mnyeti,Kihongosi,Mrisho Gambo,Polepole,Bashiru Ally,Kabudi,Job Ndungai,Biswalo Maganga,Mahera,JPM mwenyewe kama una akili timamu huwezi kufagilia upuuzi huo labda uwe mtu uliyefeli na usiye na future,maana wote waumini wa Magufuri kaburi lao linawaka moto.Sasa Kama wwe siyo vyeti feki au mpiga deal,ni sababu ipi ilikufanya umchukie JPM!? Basi lazima wwe utakua na ndg au Jamaa walionyooshwa na Magu kwa ufisadi,na wwe ulikua unanufaika na huo uchafu ndiyo maana ukamchukia JPM!! Bishaa!!?
Mkombozi wa Ulimwengu na kifo chake kilileta amani duniani,sasa wanadamu ni wamoja kwa sababu ya Yesu Kristo.Hata Yesu alikufa mapema,nalo hilo unalizungumziaje bro!!?
Phd yake unajua ni feki? Yeye ndio alikuwa baba wa vyeti feki.Alikuchukia wewe kwa kuwa ulikuwa na cheti fake lakini sisi watumishi wa vyeti original hatukuwa na shida naye kabisa.
Na ndiyo maana asilimia kubwa ya waliofanya kazi na hao watu hufa maskini.Ulikwisha fanya kazi kwa wahindi or wachina. ..hawapendi watu wavivu utafanya cku moja tu kesho hurudi. ...
Wapi nimeandika kuwa nilikuwa namchukia JPM?Sasa Kama wwe siyo vyeti feki au mpiga deal,ni sababu ipi ilikufanya umchukie JPM!? Basi lazima wwe utakua na ndg au Jamaa walionyooshwa na Magu kwa ufisadi,na wwe ulikua unanufaika na huo uchafu ndiyo maana ukamchukia JPM!! Bishaa!!?
Sitii neno, mi nasoma comments za walinda legacy tuu!!Kwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi.. hakuna ajuae ni kosa Gani haswa aliwahi kufanyiwa na watumishi wa nchi hii, yapo mambo ambayo mama amejitahidi angalau kuyarudisha lakini mengine inabidi mchakato au hata hekima tu, ngoja niwaonyeshe Machache,
1. Kupandisha Madaraja , kwa Mfano wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014, haikujulikana ni LINI, wangepanda Madaraja! Imagine Miaka 7, na hatimaye wakaja kupanda mwaka 2021! Baada ya mama kuingia madarakani! Just imagine
2. Nyongeza za kawaida za Kila mwaka ambazo zipo kisheria kabisa yeye alifuta! Tena Bila shaka hakutaka kusikia, haijafahamika mara moja ni kwanini!
3. Kazi maalum kwa walimu Mfano (kusahihisha mitihan ya taifa)
Walimu waliokuwa wakifanya Kazi iyo kabla ya JPM kuingia madarakani, mbali na kwamba walilipwa vizuri pia walikula chakula kizuri, lakini pia waandaaji walifanya kama kuwamotisha walimu kwa kuwapa kama utalii wa ndani, maana yule wa kigoma angeenda Tanga wa Tanga akaenda Tabora huko n.k...
Hii iliwafanya baadhi ya watu kufurahia na angalau kubadilisha mazingira!
Sasa Mzee baba alivyoingia akapiga marufuku akisema wa Tabora abaki Tabora na WA Mwanza abaki mwanza! Hakuishia hapo na malipo akapunguza! Akidai walimu hiyo ni kazi Yao, hivyo ikibidi wasilipwe chochote! Na Sasa kuanzia pale kazi ikawa Haina morali kwani kazi kubwa, malipo kidogo na masimango juu.
Mpaka tunakwenda mitamboni haikujulikana sababu haswa kwanini Mzee baba aliwachukia wafanyakazi kiasi hiki.
Yaan uandike uwongo na ujinga tukuangalie tu! Huo ujinga sisi hatufugi! Ulaaniwe wewe pamoja na huo mzimu wenu!Kua serious kidogo kwenye sensitive issues! Asante sana!!
Yaan nkiona kuna mijinga kadhaa bado inampa promo yaan napandwa na hasira mbaya!Jamaa alikuwa mshenzi sana.
Ebu nionyeshe angalau sehemu moja kunakofanyika kazi kwa ufanisi nije nipaone. Kungekuwa kuna watumishi wanafanya kazi kwa ufanisi nakuhakikishia Tanzania yetu isingekuwa hivi ilivyo leo.Wewe na nani? Jifunze kujiongelea mwenyewe, pili ungekuwa unatoa mfano sehemu angalau moja uliyokwama, unaweza fikiri unakwamishwa kumbe unajikwamisha mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawasingizia tu, wakurugenzi ndio wanauza mechi.....walimu hawana ubavu huo hata kidogo.Pole mwalimu...tatizo Ninyi walimu ndio huwa mnauza mechi siku ya uchaguzi...maana nyie ndio wasimamiz wa vituo
Ebu fikiria, mtu kama wewe ndiyo matunda ya watumishi tulio nao! Hiyo ni ishara tosha kabisa kuwa hakuna ufanisi wowote huko makazini, watu wanafanya kazi tu bora liende.Leo unaandika utumbo lakini pamoja na utumbo wote ni Mtumishi wa umma aliyekufanya ujue kusoma na kuandika na hata hiyo smart phone yako au laptop ni matunda ya Watumishi wa umma.
Kwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi.. hakuna ajuae ni kosa Gani haswa aliwahi kufanyiwa na watumishi wa nchi hii, yapo mambo ambayo mama amejitahidi angalau kuyarudisha lakini mengine inabidi mchakato au hata hekima tu, ngoja niwaonyeshe Machache,
1. Kupandisha Madaraja , kwa Mfano wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014, haikujulikana ni LINI, wangepanda Madaraja! Imagine Miaka 7, na hatimaye wakaja kupanda mwaka 2021! Baada ya mama kuingia madarakani! Just imagine
2. Nyongeza za kawaida za Kila mwaka ambazo zipo kisheria kabisa yeye alifuta! Tena Bila shaka hakutaka kusikia, haijafahamika mara moja ni kwanini!
3. Kazi maalum kwa walimu Mfano (kusahihisha mitihan ya taifa)
Walimu waliokuwa wakifanya Kazi iyo kabla ya JPM kuingia madarakani, mbali na kwamba walilipwa vizuri pia walikula chakula kizuri, lakini pia waandaaji walifanya kama kuwamotisha walimu kwa kuwapa kama utalii wa ndani, maana yule wa kigoma angeenda Tanga wa Tanga akaenda Tabora huko n.k...
Hii iliwafanya baadhi ya watu kufurahia na angalau kubadilisha mazingira!
Sasa Mzee baba alivyoingia akapiga marufuku akisema wa Tabora abaki Tabora na WA Mwanza abaki mwanza! Hakuishia hapo na malipo akapunguza! Akidai walimu hiyo ni kazi Yao, hivyo ikibidi wasilipwe chochote! Na Sasa kuanzia pale kazi ikawa Haina morali kwani kazi kubwa, malipo kidogo na masimango juu.
Mpaka tunakwenda mitamboni haikujulikana sababu haswa kwanini Mzee baba aliwachukia wafanyakazi kiasi hiki.
Salary increments ipo kwenye mkataba kabisa wa ajira sema umeambiwa tu uje utetee legacy Bila kujua ChochoteHivyo ulivyoongea hapo vipo kwenye job description ya mwajiriwa?
Salary increments ipo kwenye mkataba kabisa wa ajira sema umeambiwa tu uje utetee legacy Bila kujua Chochote
Bado unaweweseka na mzimu wa JPM!? Achaa wizi na dhuluma na utakua uhuru!!Yaan uandike uwongo na ujinga tukuangalie tu! Huo ujinga sisi hatufugi! Ulaaniwe wewe pamoja na huo mzimu wenu!
We boya nna uwezo wa kukufuga ww pamoja na nzengo yako yote! Halaf naish kwa jasho langu sijawah kumnyima au kumnyanganya mtu! Jaribu kujifunza kutoka kwa wenzako waliokuzidi maarifa! Umma sio serikali kama unavyojilisha materia feki!Bado unaweweseka na mzimu wa JPM!? Achaa wizi na dhuluma na utakua uhuru!!
Mpaka Hapo inaonekana wewe hujui chochote kuhusu utumishi wa uma, hivyo nikushauri Kabla hujakurupukia hoja, angalau fanya research kwanza,Mkataba wa Ajira yako unakwambia kila mwaka utaongezwa salary?