Kwa ujio wa Jerry Silaa Wizara ya Ardhi, Open Spaces zitakiona cha Moto

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,692
Reaction score
3,891
Jana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi ambayo Jerry Silaa ameteuliwa.

Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni.

Jamaa ni mtu wa dili sana. Uliza Wajumbe wa Kamati ya PIC watathibitisha hili. Uliza Watendaji wa Mashirika ya Umma watathibitisha pasi na shaka.

Sasa kapiga kampeni za DP World kazawadiwa Uwaziri wa Ardhi. Kwa changamoto zake za kimaadili sina hakika kama kuna open space ya Ardhi itakuwa salama hapa Nchini.
 
Namshangaa Samia anavyotoa zawadi za uwaziri kwa watu wanaofanya kazi za kijinga sana, ina maana yeye ndie anaona huo ujinga wao ni ujanja, huyu kiongozi wa aina hii ni balaa kwetu, badala arekebishe pale alipokosea, ajabu yeye ndie anawazawadia wale wanaopaka mafuta ujinga wake!
 
Watanganyika Wote mnafanana kwa upigaji labda Kabudi tu!
 
Mama Samia ni mtu wa kushangaza sana lawama zote anabeba kifuani pake mama wa watu wakati mpangaji na mpanguaji wa mawaziri watanzania wote wanamjua,, ajabu hakuna hata mmoja anayethubutu kumsema,, kama kuna sehemu kahusika yeye kama yeye basi ni asilimia zisizozidi 20 tu, lakini remote iko Msoga
 
Tunataka ushahidi dhidi ya hiking unachokisema.
 
Huyu ni fisadi papaa haswa
 
Huna akili
 
Wivu tu
 
Rostam Azizi ndiyo anapanga
 
Una mimba ya Samia wewe sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…