mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Mh. Angelina Mabula aliimudu sana WIzara ya Ardhi lakini kilichomponza ni kutoisapoti DP World. Kaletwa mpigaji kwenye Wizara nyeti.Jana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi. Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni. Jamaa ni mtu wa dili sana. Uliza Wajumbe wa Kamati ya PIC watathibitisha hili. Uliza Watendaji wa Mashirika ya Umma watathibitisha pasi na shaka.
Sasa kapiga kampeni za DP World kazawadiwa Uwaziri wa Ardhi. Kwa changamoto zake za kimaadili zina hakka kama kuna open space ya Ardhi itakuwa salama hapa Nchini.