Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Inasikitisha sana na inathibitisha hili dili la DW World lina maslahi binafsi makubwa sana kwa rais Samia na hata kubali kwa vyovyote vile hayaachie.Namshangaa Samia anavyotoa zawadi za uwaziri kwa watu wanaofanya kazi za kijinga sana, ina maana yeye ndie anaona huo ujinga wao ni ujanja, huyu kiongozi wa aina hii ni balaa kwetu, badala arekebishe pale alipokosea, ajabu yeye ndie anawazawadia wale wanaopaka mafuta makosa yake!.
Inasikitisha nchi yetu inaongozwa kifalme kwa sababu ya katiba mbovu. Tunaona kabisa inchi inaingia kwenye matatizo lakini hatuna la kufanya