Kwa ujio wa Jerry Silaa Wizara ya Ardhi, Open Spaces zitakiona cha Moto

Jana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi ambayo Jerry Silaa ameteuliwa. Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni.

Jamaa ni mtu wa dili sana. Uliza Wajumbe wa Kamati ya PIC watathibitisha hili. Uliza Watendaji wa Mashirika ya Umma watathibitisha pasi na shaka.

Sasa kapiga kampeni za DP World kazawadiwa Uwaziri wa Ardhi. Kwa changamoto zake za kimaadili zina hakika kama kuna open space ya Ardhi itakuwa salama hapa Nchini.
Kapewa uwaziri wa Ardhi ili DP World wanyakuwe Ardhi waitakayo bila kikwazo
 
Jana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi ambayo Jerry Silaa ameteuliwa. Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni.

Jamaa ni mtu wa dili sana. Uliza Wajumbe wa Kamati ya PIC watathibitisha hili. Uliza Watendaji wa Mashirika ya Umma watathibitisha pasi na shaka.

Sasa kapiga kampeni za DP World kazawadiwa Uwaziri wa Ardhi. Kwa changamoto zake za kimaadili zina hakika kama kuna open space ya Ardhi itakuwa salama hapa Nchini.
Aliwahi kuuza ile ya pale Samora ikamletea shida sana
 
Yale macho tu you can tell something is off. Aelekezwe kuwa open spaces ni maeneo ya watu kwenda kutoa stress, badala ya kuziuza zinapaswa ziendelezwe hata privately ili watu wapate pa kupumua kwani hajaendaga ulaya au Marekani akaona faida zake? Mji usiokuwa na open space/parks hauna furaha, angalia hata pale dodoma nyerere square panavyojaa watu licha ya ukweli kuwa hapajaendelezwa kuleta maana halisi?
 
Jana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi ambayo Jerry Silaa ameteuliwa.

Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni.

Jamaa ni mtu wa dili sana. Uliza Wajumbe wa Kamati ya PIC watathibitisha hili. Uliza Watendaji wa Mashirika ya Umma watathibitisha pasi na shaka.

Sasa kapiga kampeni za DP World kazawadiwa Uwaziri wa Ardhi. Kwa changamoto zake za kimaadili sina hakika kama kuna open space ya Ardhi itakuwa salama hapa Nchini.
Umeumbuka

View: https://www.instagram.com/p/Cw0orc7glHb/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Back
Top Bottom