mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Mh. Angelina Mabula aliimudu sana WIzara ya Ardhi lakini kilichomponza ni kutoisapoti DP World. Kaletwa mpigaji kwenye Wizara nyeti.Jana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi. Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni. Jamaa ni mtu wa dili sana. Uliza Wajumbe wa Kamati ya PIC watathibitisha hili. Uliza Watendaji wa Mashirika ya Umma watathibitisha pasi na shaka.
Sasa kapiga kampeni za DP World kazawadiwa Uwaziri wa Ardhi. Kwa changamoto zake za kimaadili zina hakka kama kuna open space ya Ardhi itakuwa salama hapa Nchini.
Yani hapo utaona wazi kabisa kuwa boss nani,, huenda Angelina alikataa kukinywea kikombe hiki,,silaa kawa bosi wa rizone kweli mama hii nchi sio yeye anayoiongoza.
Huu ndo mama ambduli bana anaruka mkojo anakanyaga maviJana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi. Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni. Jamaa ni mtu wa dili sana. Uliza Wajumbe wa Kamati ya PIC watathibitisha hili. Uliza Watendaji wa Mashirika ya Umma watathibitisha pasi na shaka.
Sasa kapiga kampeni za DP World kazawadiwa Uwaziri wa Ardhi. Kwa changamoto zake za kimaadili zina hakka kama kuna open space ya Ardhi itakuwa salama hapa Nchini.
Alione hii kwenye faili, kitila aliipigia campaign dp world akaundiwa hadi wizara yake kwa gharam za kodi za watanzania, huyu ndo mama abduliNamshangaa Samia anavyotoa zawadi za uwaziri kwa watu wanaofanya kazi za kijinga sana, ina maana yeye ndie anaona huo ujinga wao ni ujanja, huyu kiongozi wa aina hii ni balaa kwetu, badala arekebishe pale alipokosea, ajabu yeye ndie anawazawadia wale wanaopaka mafuta makosa yake!.
Halafu kadi za ccm zikirudisha lawama anapewa ded na sio yeyeHuyu maza sijui hata anatumiaga akili za wapi aisee. Me huwa ananikata balaa.
Uharibu = malizia uharibifi mkubwaNafasi ile inahitaji mtu mzima anayejitambua..kuweka watoto wanaotafuta ukwasi ni kuwatia majaribuni..tena hasa kwa nyakati za huyu bibi ambaye akisema leo kesho ameshasahau na hafatilii tena..yaani ye akishtuka ujue tayari kuna uharibifu.
Labda kama wamemuweka kukamilisha dili zao..maana yule ni kijana wa mzee wa msoga.
Dah kweli UNAMJUA NA KUMFAHAMA VYEMA KABISAJana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi ambayo Jerry Silaa ameteuliwa. Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni. Jamaa ni mtu wa dili sana. Uliza Wajumbe wa Kamati ya PIC watathibitisha hili. Uliza Watendaji wa Mashirika ya Umma watathibitisha pasi na shaka.
Sasa kapiga kampeni za DP World kazawadiwa Uwaziri wa Ardhi. Kwa changamoto zake za kimaadili zina hakika kama kuna open space ya Ardhi itakuwa salama hapa Nchini.
SAMAKI ana mengi ya kuongea lakini mdomoni ana MAJI.Jana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi ambayo Jerry Silaa ameteuliwa. Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni. Jamaa ni mtu wa dili sana. Uliza Wajumbe wa Kamati ya PIC watathibitisha hili. Uliza Watendaji wa Mashirika ya Umma watathibitisha pasi na shaka.
Sasa kapiga kampeni za DP World kazawadiwa Uwaziri wa Ardhi. Kwa changamoto zake za kimaadili zina hakika kama kuna open space ya Ardhi itakuwa salama hapa Nchini.
JERRY SILAAA ,Atakuja kushika madaraka ya Urais , He is Competent man I knowJana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi ambayo Jerry Silaa ameteuliwa. Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni. Jamaa ni mtu wa dili sana. Uliza Wajumbe wa Kamati ya PIC watathibitisha hili. Uliza Watendaji wa Mashirika ya Umma watathibitisha pasi na shaka.
Sasa kapiga kampeni za DP World kazawadiwa Uwaziri wa Ardhi. Kwa changamoto zake za kimaadili zina hakika kama kuna open space ya Ardhi itakuwa salama hapa Nchini.
Pumbavu saana.Sabaya akirudishwa natembea uchi hadharani siku tatu mfulululizo halafu najiua.
Ardhi inaenda kudhulumiwa wasio na pesa kwa kasi sanaJana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi ambayo Jerry Silaa ameteuliwa. Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni. Jamaa ni mtu wa dili sana. Uliza Wajumbe wa Kamati ya PIC watathibitisha hili. Uliza Watendaji wa Mashirika ya Umma watathibitisha pasi na shaka.
Sasa kapiga kampeni za DP World kazawadiwa Uwaziri wa Ardhi. Kwa changamoto zake za kimaadili zina hakika kama kuna open space ya Ardhi itakuwa salama hapa Nchini.
he tupe ushahidi wa dili zake za upigaji japo 2 tuJana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi ambayo Jerry Silaa ameteuliwa. Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni. Jamaa ni mtu wa dili sana. Uliza Wajumbe wa Kamati ya PIC watathibitisha hili. Uliza Watendaji wa Mashirika ya Umma watathibitisha pasi na shaka.
Sasa kapiga kampeni za DP World kazawadiwa Uwaziri wa Ardhi. Kwa changamoto zake za kimaadili zina hakika kama kuna open space ya Ardhi itakuwa salama hapa Nchini.
Ulipoteaga wapi wewe Kashaulo ?Pumbavu saana.
(Kinyambe)
Naye atakuwa mjinga, kwann akubali kushikiwa rimoti na kuelekezwa chanel za kutazama hata kama yete mwenyewe hazipendi, UJINGA!!.Mama Samia ni mtu wa kushangaza sana lawama zote anabeba kifuani pake mama wa watu wakati mpangaji na mpanguaji wa mawaziri watanzania wote wanamjua,, ajabu hakuna hata mmoja anayethubutu kumsema,, kama kuna sehemu kahusika yeye kama yeye basi ni asilimia zisizozidi 20 tu,, lakini remote iko Msoga
🤣🤣Muda wetuuu muda wetuuu Maafisa ardhi kupiga bao 🤣🤣halohalohaloArdhi inaenda kudhulumiwa wasio na pesa kwa kasi sana