Kwa ujio wa Jerry Silaa Wizara ya Ardhi, Open Spaces zitakiona cha Moto

Naye atakuwa mjinga, kwann akubali kushikiwa rimoti na kuelekezwa chanel za kutazama hata kama yete mwenyewe hazipendi, UJINGA!!.
Pengine anaelekezwa kwa shuruti,, nani anajua,,? Nchi ina mengi sana hii
 
Kapewa uwaziri wa Ardhi ili DP World wanyakuwe Ardhi waitakayo bila kikwazo
 
Aliwahi kuuza ile ya pale Samora ikamletea shida sana
 
Itoshe kusema mama yenu analea wezi.
Sio mm nimenukuu nyimbo ya Ney🥺
 
Yale macho tu you can tell something is off. Aelekezwe kuwa open spaces ni maeneo ya watu kwenda kutoa stress, badala ya kuziuza zinapaswa ziendelezwe hata privately ili watu wapate pa kupumua kwani hajaendaga ulaya au Marekani akaona faida zake? Mji usiokuwa na open space/parks hauna furaha, angalia hata pale dodoma nyerere square panavyojaa watu licha ya ukweli kuwa hapajaendelezwa kuleta maana halisi?
 
Umeumbuka

View: https://www.instagram.com/p/Cw0orc7glHb/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…