Kwa ujio wa Tundu Lissu, CCM na Samia itafika mahali wajutie kushindwa kwao kutekeleza maridhiano na Mbowe

Kwa ujio wa Tundu Lissu, CCM na Samia itafika mahali wajutie kushindwa kwao kutekeleza maridhiano na Mbowe

Bado sijafatilia ila nimeona minong'ono mingi kati ya Malema na Elon
Wamekatiwa Aid ya karibu $400 million kutoka US. Ila it seems agenda ya US ni kuua the so called BRICS influence kwahiyo hizi ni move ambazo naona zitakuja kwa kasi zaidi kwa nchi ambazo zipo mrengo wa BRICS na nyingi kwa Africa zipo ukanda wa SADC.

Tanzania sisi pia kwenye foreign policy tumeonekana tupo mrengo wa ku support BRICS japo huwa hatusemagi wazi, so nadhani wajomba hawa wanatutolea macho na kututafutia sababu ya kutunyoosha. Ndo maana hawa watu wanaosema Trump hawezi ku deal na Tanzania nawashangaa sana
 
Back
Top Bottom