Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Buku tuu au kuna lingine ππππ
Umeanza..Buku tuu au kuna lingine ππππ
Upo wapi leoUmeanza..
Kazana mkuu kama shati la kijani unalo hakishindikani kitu, kikubwa uzima na utimamu uwepo.sio mbunge tu,
lakini pia waziri kwenye wizara muhimu na baadae speaker wa bunge..
kwani kuna ubaya ubwela wowote hapo ndrugu zango?π
Kwa Neema na Baraka za Mungu na ikawe hivyo sawa na mapenzi yake πKazana mkuu kama shati la kijani unalo hakishindikani kitu, kikubwa uzima na utimamu uwepo.
Amen mkuuKwa Neema na Baraka za Mungu na ikawe hivyo sawa na mapenzi yake π
Kuna watu wanaishi aisee .Jana nilivyoona stori za mmoja ya mwanaharakati wa chadema kakamatwa na polisi kwenda kukagua nyumbani kwa jamaa naamini kabisa wale polisi waliokua wanakagua Ile nyumba na polisi wengine Kwa ujumla hamna ambaye anamjengo kama ule wa huyu boni yai polisi ni masikini sana aisee Kuna anaebisha humu yaani mnazidiwa kipato na mpambanaji aliekataa kula Mali za dhulma.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hata Wewe huwezi kujenga ule MJENGO na uchawa wako mpaka unakufa
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hata Wewe huwezi kujenga ule MJENGO pamoja na kuwa chawa mpaka unakufa hujengi endelea kusingizia utoto kumbe unaumia
Jenga tuone kama ni rahisi π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ni nyumba nzuri na uwezo wa kujenga zaidi ya hiyo ninao vilevile
LaanaPolisi ndio wanadhulumu mali za raia ila mbona ni masikini sana
Wizo una joto sana πΉπΉ
Boni ni mjasiliamali hao unaowataja wanasubilia Hela za mafungu mafungu nazo azitoshi . Hadi vitabu vitakatifu vimewaonya kutosheka na vipato vyao unadhani mchezo.Jana nilivyoona stori za mmoja ya mwanaharakati wa chadema kakamatwa na polisi kwenda kukagua nyumbani kwa jamaa naamini kabisa wale polisi waliokua wanakagua Ile nyumba na polisi wengine Kwa ujumla hamna ambaye anamjengo kama ule wa huyu boni yai polisi ni masikini sana aisee Kuna anaebisha humu yaani mnazidiwa kipato na mpambanaji aliekataa kula Mali za dhulma.

Huu mjengo wa Boniphace Jacob hata balozi wa Marekani hapa Tanzania hana huo mjengo kwao
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Huu mjengo wa Boniphace Jacob hata balozi wa Marekani hapa Tanzania hana huo mjengo kwao