Kwa Ule Mjengo wa Boniface Jacobo: Hakuna Polisi Mwenye Uwezo wa Kujenga

Ila nyumba ya mwisho ni kaburi,huwee na nyumbaa kubwa kama hiyo utapigia mswaki wa buku.tutengeneze nyumba zetu za milelee
 
Jana nilivyoona stori za mmoja ya mwanaharakati wa chadema kakamatwa na polisi kwenda kukagua nyumbani kwa jamaa naamini kabisa wale polisi waliokua wanakagua Ile nyumba na polisi wengine Kwa ujumla hamna ambaye anamjengo kama ule wa huyu boni yai polisi ni masikini sana aisee Kuna anaebisha humu yaani mnazidiwa kipato na mpambanaji aliekataa kula Mali za dhulma.
Kuna watu wanaishi aisee .
 
Boni ni mjasiliamali hao unaowataja wanasubilia Hela za mafungu mafungu nazo azitoshi . Hadi vitabu vitakatifu vimewaonya kutosheka na vipato vyao unadhani mchezo.
 
Back
Top Bottom