BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Mkuu mbona ni kawaida kwa graduates wote kujiajiri nje ya kitu walichosomeaTena wanajiajiri nje ya taaluma zao walizosoma. Unakuta graduate wa degree ya procurement anafungua kibanda cha Mobile Money au anaenda kilima bamia na nyanya chungu huko Ruvu kama mtu wa kidato cha sita.
Mkuu mbona Kuna mkunga ambaye hajui kusoma Wala kuandika na anazalisha vizuri je taaluma ya ukunga ifutwe?Mkuu, mimi niliwahi kufanya kazi katika construction industry kwa muda fulani. Nilichoshuhudia kwa muda wote huo ni kwamba, watu wa kidato cha nne na sio ndio wanafanya hizo kazi za manunuzi na sio graduates. Kwa mazingira ya Tanzania hiyo kozi ipunguze udahili wa wanafunzi.
Ndio wanafunzi waambiwe sasa kuwa hii taaluma inahitaji watu wenye "connections" kubwa kubwa na sio mtoto wa mlala hoi kwa maana hawezi kuitumia katika kujiajiri. Vijana wanapotezewa muda na pesa kizembe kabisa.Hiyo ni managerial coarse siyo kozi ya kujiajiri
Mkunga anaweza akajiajiri kwa taaluma yake hiyo. Sasa graduate wa degree ya procurement anawezaje kujiajiri akimaliza chuo?Mkuu mbona Kuna mkunga ambaye hajui kusoma Wala kuandika na anazalisha vizuri je taaluma ya ukunga ifutwe?
Kwenye manunuzi unafundisha vitu kama negotiation, tender, stores management, pricing sasa mtu mwenye ujuzi wa hivyo vitu hapo juu anashindwaje kujiajiri.Sio serikali ya Tanzania tu, Duniani kote 80% na zaidi ya bajeti inahusu matumizi ile je watu wanasoma ili kwenda kuajiriwa serikalini wafanye manunuzi?
Mtu aliesoma manunuzi akijiajiri anafanya kazi gani?
Namuongeza na swali hapo, mbona Kuna mtu anaweza kucheza na kompyuta vizuri tu mpaka akafanya hacking, kwa hiyo kozi ya IT ifutwe?Mkuu mbona Kuna mkunga ambaye hajui kusoma Wala kuandika na anazalisha vizuri je taaluma ya ukunga ifutwe?
Kwanini iwe kawaida kwa graduate kujiajiri kwa kazi sawa na mhitimu wa kidato cha sita? Kuna umuhimu gani wa yeye kusoma kwa ngazi mpaka ya huko juu?Mkuu mbona ni kawaida kwa graduates wote kujiajiri nje ya kitu walichosomea
Mkuu, ninaomba mfano wa vijana 3 waliojiajiri kupitia taaluma ya procurement kwa hapa Tanzania.Kwenye manunuzi unafundisha vitu kama negotiation, tender, stores management, pricing sasa mtu mwenye ujuzi wa hivyo vitu hapo juu anashindwaje kujiajiri.
Kwa hiyo mtoto wa mlala hoi aliesoma petroleum engineering na civili engineering anajiajiri vipiNdio wanafunzi waambiwe sasa kuwa hii taaluma inahitaji watu wenye "connections" kubwa kubwa na sio mtoto wa mlala hoi kwa maana hawezi kuitumia katika kujiajiri. Vijana wanapotezewa muda na pesa kizembe kabisa.
Procurement haiandai watu kujiajiri, nadhani hiki ndo unataka kukisikiaMkuu, ninaomba mfano wa vijana 3 waliojiajiri kupitia taaluma ya procurement kwa hapa Tanzania.
Katika Karne ya sasa lengo number moja la graduates wetu linapaswa kuwa kujiajiri. Endapo mtu atapata fursa ya kuajiriwa iwe kwa bahati mbaya sana, lakini the main target must be self employment.Sio kila kozi iliundwa ili mtu ajiajiri zingine zipo specific kwa ajili ya ku run organization
......na hapa ndio mzizi wa tatizo unapoanzia ndugu yangu.Procurement haiandai watu kujiajiri, nadhani hiki ndo unataka kukisikia
mantiki yako ilikuwa kama kijana wa form four anaweza kufanya manunuzi basi hakuna aja ya kuwepo kozi ya procurement. Mimi nikakupa mfano Kuna wakunga ambao hawajui kusoma Wala kuandika wanaweza kusimamia zoezi la mjamzito kujifungua swali langu likawa je kozi za ukunga zifutwe.?Mkunga anaweza akajiajiri kwa taaluma yake hiyo. Sasa graduate wa degree ya procurement anawezaje kujiajiri akimaliza chuo?
Sasa kila mtu akijiajiri Nani ataajiriwa? Na kwani huwezi chukua maarifa ukaenda kuyatumia kwenye fani nyingine kabisa?Katika Karne ya sasa lengo number moja la graduates wetu linapaswa kuwa kujiajiri. Endapo mtu atapata fursa ya kuajiriwa iwe kwa bahati mbaya sana, lakini the main target must be self employment.
Exactly procurement inafundisha mpaka strategic Management, humo utakutana na mambo ya SWOT analysis ambayo kimsingi ndio moyo wa biashara yoyote ile dunianimantiki yako ilikuwa kama kijana wa form four anaweza kufanya manunuzi basi hakuna aja ya kuwepo kozi ya procurement. Mimi nikakupa mfano Kuna wakunga ambao hawajui kusoma Wala kuandika wanaweza kusimamia zoezi la mjamzito kujifungua swali langu likawa je kozi za ukunga zifutwe.?
Back to your reply ni kuwa swala kujiajiri yoyote yule anaweza kujiajiri tena Kwa alisomea procurement ana advantage sababu kasomea negotiation skills, Tender, stores handling kwa hiyo ni maamuzi ya mhitimu kuchagua nini cha kufanya maana alichosomea ni applicable kwenye business nyingi.
Hili pia ni tatizo ambalo "policy makers" watu wanapaswa kulitolea ufafanuzi kaka mkubwa. Sisi waafrika sisi tuna matatizo sana. Tanzania kuna reserve gani ya petroleum mpaka kuwashawishi watoto wa walala hoi kusomea hizo kozi. Nchi za Afrika zinapaswa kwanza kutatua balaa la njaa kabla ya kuwaza hizo petroleum kama wazungu na waarabu. Wale suala la njaa walikwisha limaliza zamani sana ndio maana wanawaza mambo mazito mazito muda wote.Kwa hiyo mtoto wa mlala hoi aliesoma petroleum engineering na civili engineering anajiajiri vipi
Mkuu, unaweza kuyachukua maarifa kutoka wapi kisha ukayatumia wapi kwa mfano? Alafu kama suala ni kupata maarifa tu, kwanini kusiwe na kozi tatu tu za kupatia maarifa? Kwanini kuna lundo la kozi?Sasa kila mtu akijiajiri Nani ataajiriwa? Na kwani huwezi chukua maarifa ukaenda
Mkuu, kama hizo SWOT na strategic management hazimuwezeshi fresh graduate kujiajiri, it's nothing.Exactly procurement inafundisha mpaka strategic Management, humo utakutana na mambo ya SWOT analysis ambayo kimsingi ndio moyo wa biashara yoyote ile duniani
Dah Kaka ningekutajia vitu ambavyo mtu wa procurement anasoma utashangaaMkuu, unaweza kuyachukua maarifa kutoka wapi kisha ukayatumia wapi kwa mfano? Alafu kama suala ni kupata maarifa tu, kwanini kusiwe na kozi tatu tu za kupatia maarifa? Kwanini kuna lundo la kozi?
At least hiyo entrepreneurship mngeiondoka kutoka ndani ya procurement kisha ikawa bachelor degree ya kujitegemea hapo ingekuwa na mantiki kidogo. Kwa mfano bachelor degree in Agriculture and Entrepreneurship au Bachelor Degree in mobile device repair and Entrepreneurship.By the way procurement inafundisha mpaka entrepreneurship