Kwa ulimwengu huu wa sasa Fani ya Procurement bado inafundishwa vyuoni kwa sababu gani?

Kwa ulimwengu huu wa sasa Fani ya Procurement bado inafundishwa vyuoni kwa sababu gani?

mwana haelewi uyu, moja ya fani nyeti sana ani ata sbule unayoona inajenvwa ni proceessing na procurement, mgavi akisema sikupi tenda ndo imeisha iyo. uyu PMU katika taasis hingne anaeza kuwa mtu wa marketing, avvountant kwamaana acounting analysis wanazisoma, awa ni.watu wa bandari pia😁, awa jamaa warespect aisee
Tunahitaji taaluma itakayomuwezesha kijana kujiajiri mkuu na fursa ndogo ya kuajiriwa.
 
Nadhani ziachwe tu! Kwa sababu zipo ili kupanua wigo kwa watoto wetu angalau wapate degree za kuwaletea heshima kwenye jamii kwamba nao wamesoma! Watapata kazi wapi hiyo watajua wenyewe na wazazi wao.
 
Nadhani ziachwe tu! Kwa sababu zipo ili kupanua wigo kwa watoto wetu angala wapate degree za kuwaletea heshima kwa jamii kwamba wamesoma! Watapata kazi wapi hiyo watajua wenyewe na wazazi wao.
Safi sana mkuu. Hakika hili ndio jibu sahihi. Moderators ninaomba huu mjadala ufungwe sasa.
 
Tunahitaji taaluma itakayomuwezesha kijana kujiajiri mkuu na fursa ndogo ya kuajiriwa.
Mtoa mada ametoa hoja kwamba procurement haina umuhimu mowote, watu ndo wanamshushia nondo wanamwambia hamna mradi wowote ule kwenye hii nchi utafanyika bila mtu wa procurement

Hata hospital za serikali hamna kitu kinanunulika bila mtu wa procurement, kwa hiyo procurement ni zaidi ya anavyoichukulia

Utashangaa nikikwambia hata kwenye halmashauri ukimtoa mkurugezi, boss wao ni mtu wa procurement [emoji16] Sababu yeye ndo anaamua hela itumike vipi

Kaulize wazabuni(supplies) mtu wa procurement ana umuhimu gani kwao
 
Umeongea fact zamani hizo mambo ulizogusia hapo za procurement zilikuwa chini ya ofisi ya mhasibu

Ila baada ya kuona upana na umuhimu wake ndio maana taaluma ya procurement and logistics management zikaongezwa kwenye vyuo vingi duniani
Mkuu, katika hiyo dunia Tanzania haipo. Huwa mnakosea sana masuala ya Ulaya kuyaleta Tanzania. Hao jamaa wana nuclear ila sisi bado tuna njaa.
 
Mkuu, someone fresh from chuo anaweza fanya haya na bado HESLB wanamdai?
kaka ipo ivi kama mtu anasoma enterprnuership, marketing (prochrement anavisomq ivi) apa kuna marketing research and investigation anapoamua kufungua biashara ya kufanya taaluma yake ataitumia kwa mfano hii handling au dispatching inamuwezesha kufanya delivery ya bidhaa zako at 5Rs, jambo qmbalo linaweza imarisha customer relation na biasbara kukua katika boom stage
lakini pia kama alivosema mchangiaji apo.juu unaeza fanya kujiajiri nje ya fani yako
 
Uko vizuri Kaka, nawashangaa watanzania kutaka kupima umuhimu wa fani flani kwa kigezo cha kujiajiri,
 
Self employment kwa fresh graduate wa procurement ndio inafanya hii taaluma kuonekana kuwa ni useless kwa hapa Tanzania.
Twende na facts ni vijana gani hapa Tanzania wamejiajiri kutoka kwenye kitu walichosomea ?
 
Mtoa mada ametoa hoja kwamba procurement haina umuhimu mowote, watu ndo wanamshushia nondo wanamwambia hamna mradi wowote ule kwenye hii nchi utafanyika bila mtu wa procurement

Hata hospital za serikali hamna kitu kinanunulika bila mtu wa procurement, kwa hiyo procurement ni zaidi ya anavyoichukulia

Utashangaa nikikwambia hata kwenye halmashauri ukimtoa mkurugezi, boss wao ni mtu wa procurement [emoji16] Sababu yeye ndo anaamua hela itumike vipi

Kaulize wazabuni(supplies) mtu wa procurement ana umuhimu gani kwao
Huyu jamaa afute tu huu uzi naona anaaibika tu 🤣🤣🤣

Dunia ya sasa bila procurement??!!🤔🤔🤔

Na kwa kuona umuhimu wake ndio maana hata hapa Tanzania serikali imeanzisha bodi ya masuala ya procurement Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board (PSPTB)
 
Wewe jamaa uwezo wako wa kufikiri bado ni mdogo sana
Hoja ya mleta maada juu imeegemea zaidi juu ya soko la hawa graduate wa procurement baada ya kuhitimu, amesema wazi, soko lao kuu la ajira liko hasa serikalini, kwa maana wizarani, katika idara na taasisi za serikari na hata katika halmashauri.
Kwa mtiririko wa wachangiaji katika maada hii, wengi mmeungana na mtoa maada maana mnatetea hoja zenu kwa kuzingatia majukumu ya wagavi katika uwanja huo huo wa ajira serikalini. Tujiulize kama ambavyo maada inataka, serikali inaweza wabeba wahitimu wote wa ugavi na kuwaajiri katika nafasi hizo?!
 
Back
Top Bottom