Kwa Ulinzi wa Dotto Biteko, Serikali itunge sheria kudhibiti matumizi mabaya ya Ofisi

Kwa Ulinzi wa Dotto Biteko, Serikali itunge sheria kudhibiti matumizi mabaya ya Ofisi

Naona ni mwendo wa kutafuta kiki kwenye nchi ya wadanganyika.
 
Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...

Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi ya Kivita hivi..

Jambo kama hili aliwahi kulifanya aliyekuwa mkuu wa mkoa Wa Dar es salaam..
naona sasa imekuwa kama maigizo hivi... Hebu muone hapa chini...
View attachment 2748142


Picha Ya mkuu wa Mkoa enzi hizo

View attachment 2748144

Na hii nyingine..
View attachment 2748150
Kwani wewe unataka kumfanya nini?
 
Nchi hii ulimbukeni umekuwa mwingi sana.

Hizi zote ni dalili za nchi iliyochoka sana kimwelekeo.
 
Back
Top Bottom