niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Unataka kuniambia wagombea wa udiwani na ubunge kwa ccm wana hutubia mawe na miti?!.Mkuu kwa nini hawaendi kwa fisiemu mpaka waweke tamasha la mziki?
Kwani pale magogoni anaishi Lowasa vile au? Kusoma huji hata kuangalia picha huwezi mkuu?Hivi 2015 Magufuli alishinda kweli?? au mimi ndo sielewi maana ya kushinda??
Sio kweli hata kidogoNarudia tena JPM alishinda 2015, watu walikuwa wanamuamini.
Hajui kama makamo lazima atoke upande wa pili wa muungano huu fakeHujui hata nani anakuwa mgombea mwenza?
Wachosema wakiwaambi nani na wangapiMimi wala sihangaiki na umati. Nahangaika na wanachosema wagombea. Umati au nyomi haukumpa urais Mzee wetu Lowassa.
Vanguard hawawezi kuwasaidia kituLowassa alishinda, Magufuli alitangazwa, Hata mwaka huu, Lissu atashinda, Magu Atatangazwa. #NiyeyE2020.
Tunachosubiri ni maamuzi ya Lissu pale ataposhinda na asitangazwe.
Akili mgando hizi halafu nyumbani utakuta unaitwa babaNi 'Juha / Mpumbavu' tu pekee ndiyo atasema kuwa CCM na Rais Dkt. Magufuli 'hatoshinda' huu Uchaguzi Mkuu. CCM 'itatawala' hadi 'Kristo' akiija.
Mazungumzia kampeni za jiweUm
Unataka kuniambia wagombea wa udiwani na ubunge kwa ccm wana hutubia mawe na miti?!.
Je tuna wasanii wangapi nchini kiasi kutosha kwa kila mgombea wa ccm?.
Lissu kujaza watu uwanja wa furahisha lakini mwanza ina majimbo mengi, mkumbuke hilo.
Kwa Advocate hashim kwenye ubwabwa vipi?Mpaka hivi leo nawaza na ninamtafuta huyu Mtu (Mtanzania) aliyemdanganya kabisa wazi wazi Bernard Membe kuwa ana 'Mvuto' wa 'Kisiasa' na kwamba 'akigombea' Urais nchini Tanzania kwa Kushindana na 'Mwamba wa Chato' Rais Dkt. John Magufuli na CCM yake (yangu) anaweza 'Kumshinda' na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kuna Mtu aliyeona Mkutano wake wa Kampeni Bernard Membe tena Mkoani Kwake kabisa(Chimbukoni) huko Lindi na kwa ule Umati 'Kiduchu' alioupata ni kheri tu angejiunga na CHADEMA au kungekuwa na Makubaliano 'Maalum' baina ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ili Yeye ( Membe ) awe Mgombea Mwenza wa Tundu Lissu kidogo kungekuwa na 'Ushindani' wa uhakika wa Kisiasa.
Watanzania siyo Mangumbaru na Mapopoma yaani 'Wamchague' Mtu ambaye hata Kwao tu 'hakubaliki' kivile na wala hana 'Mvuto' ule wa Kisiasa.
Ramli chonganishiNi 'Juha / Mpumbavu' tu pekee ndiyo atasema kuwa CCM na Rais Dkt. Magufuli 'hatoshinda' huu Uchaguzi Mkuu. CCM 'itatawala' hadi 'Kristo' akiija.
Ili tukuelewe hebu tuweke picha video au hata za kawaida tu. Justification ni muhimu Mkuu. Ila ukweli Upinzani watashindwa asubuhi wsaa 3 kamili tarehe 28 October. Siku hiyo nitakuwa tu home na Walker Label yangu na Kitimoto saaafi.Mpaka hivi leo nawaza na ninamtafuta huyu Mtu (Mtanzania) aliyemdanganya kabisa wazi wazi Bernard Membe kuwa ana 'Mvuto' wa 'Kisiasa' na kwamba 'akigombea' Urais nchini Tanzania kwa Kushindana na 'Mwamba wa Chato' Rais Dkt. John Magufuli na CCM yake (yangu) anaweza 'Kumshinda' na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kuna Mtu aliyeona Mkutano wake wa Kampeni Bernard Membe tena Mkoani Kwake kabisa(Chimbukoni) huko Lindi na kwa ule Umati 'Kiduchu' alioupata ni kheri tu angejiunga na CHADEMA au kungekuwa na Makubaliano 'Maalum' baina ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ili Yeye ( Membe ) awe Mgombea Mwenza wa Tundu Lissu kidogo kungekuwa na 'Ushindani' wa uhakika wa Kisiasa.
Watanzania siyo Mangumbaru na Mapopoma yaani 'Wamchague' Mtu ambaye hata Kwao tu 'hakubaliki' kivile na wala hana 'Mvuto' ule wa Kisiasa.
Hivi mkuu Gentamycine sijakuonaga sana ukiegema mrengu fulani, ila uchaguzi huu naona uko upande wetu ! Rangi ya mboga mboga wanavyotuita.Nadhani Somo langu hilo la 'Kiufafanuzi' limekuingia vyema kabisa na hata wale 'Visokolokwinyo' Wenzako wengine hapa nao wameliewa vile vile.
Yaani hadi hapo wewe mwenyewe ni Ngumbaru na Popoma maana hata Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huijui kuhusiana na Uchaguzi wa Rais wa Tanzania na Makamu wake wanatakiwa kutoka pande zipi za muunganoMpaka hivi leo nawaza na ninamtafuta huyu Mtu (Mtanzania) aliyemdanganya kabisa wazi wazi Bernard Membe kuwa ana 'Mvuto' wa 'Kisiasa' na kwamba 'akigombea' Urais nchini Tanzania kwa Kushindana na 'Mwamba wa Chato' Rais Dkt. John Magufuli na CCM yake (yangu) anaweza 'Kumshinda' na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kuna Mtu aliyeona Mkutano wake wa Kampeni Bernard Membe tena Mkoani Kwake kabisa(Chimbukoni) huko Lindi na kwa ule Umati 'Kiduchu' alioupata ni kheri tu angejiunga na CHADEMA au kungekuwa na Makubaliano 'Maalum' baina ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ili Yeye ( Membe ) awe Mgombea Mwenza wa Tundu Lissu kidogo kungekuwa na 'Ushindani' wa uhakika wa Kisiasa.
Watanzania siyo Mangumbaru na Mapopoma yaani 'Wamchague' Mtu ambaye hata Kwao tu 'hakubaliki' kivile na wala hana 'Mvuto' ule wa Kisiasa.
Patamu hapo, inabidi mjiandae kisaikolojia maana tunasubiri tarehe ya kuapishwa MagufuliLowassa alishinda, Magufuli alitangazwa, Hata mwaka huu, Lissu atashinda, Magu Atatangazwa. #NiyeyE2020.
Tunachosubiri ni maamuzi ya Lissu pale ataposhinda na asitangazwe.
Zungumza na mimi waliinileta hapa duniani hawako humu JF na hawakuhusu.
Naona hutulii kama kuku anayetaka kutaga