Uchaguzi 2020 Kwa Umati ule 'Kiduchu' wa kampeni ya Bernard Membe tena 'Kwao' Mkoani Lindi ni bora tu angeungana na Tundu Lissu na awe Mgombea Mwenza wake

Um
Mkuu kwa nini hawaendi kwa fisiemu mpaka waweke tamasha la mziki?
Unataka kuniambia wagombea wa udiwani na ubunge kwa ccm wana hutubia mawe na miti?!.
Je tuna wasanii wangapi nchini kiasi kutosha kwa kila mgombea wa ccm?.

Lissu kujaza watu uwanja wa furahisha lakini mwanza ina majimbo mengi, mkumbuke hilo.
 
JPM alishinda 2015, wanachama wa upinzani wengi walimpigia JPM hasa wasomi na hakusaidiwa na mtu yotote kushinda, Lowasa hakushinda Ila alipata Kura nyingi kutoka kwenye muunganiko wa vyama vingi na siyo wanachama wa vyama wasomi maana hawakuwa wanamuamini na kilichompa umaarufu Lowasa ni pesa zake zilitumika kulipia vijana wamshangilie na hawakuwa wapiga Kura, na Hilo kosa linafanywa Sasa hivi na CCM Ila upinzani wangekuwa wamejipanga Kama 2015 walikuwa na uwezo wa kushinda kwasababu tayari wanakura za watu walioelimika Ila Kura za vyama ndo zimegawanyika.
 
Lowassa alishinda, Magufuli alitangazwa, Hata mwaka huu, Lissu atashinda, Magu Atatangazwa. #NiyeyE2020.
Tunachosubiri ni maamuzi ya Lissu pale ataposhinda na asitangazwe.
Vanguard hawawezi kuwasaidia kitu
 
JPM 2015 alishinda hakusaidiwa na mtu nauhakika hao waojipa sifa walimsaidia kama Kinana na Nape ni bwebwe tu zakutaka umaarufu, Lowasa hakushinda alibebwa na pesa.
 
Um
Unataka kuniambia wagombea wa udiwani na ubunge kwa ccm wana hutubia mawe na miti?!.
Je tuna wasanii wangapi nchini kiasi kutosha kwa kila mgombea wa ccm?.

Lissu kujaza watu uwanja wa furahisha lakini mwanza ina majimbo mengi, mkumbuke hilo.
Mazungumzia kampeni za jiwe
 
Mpaka hivi leo nawaza na ninamtafuta huyu Mtu (Mtanzania) aliyemdanganya kabisa wazi wazi Bernard Membe kuwa ana 'Mvuto' wa 'Kisiasa' na kwamba 'akigombea' Urais nchini Tanzania kwa Kushindana na 'Mwamba wa Chato' Rais Dkt. John Magufuli na CCM yake (yangu) anaweza 'Kumshinda' na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kama kuna Mtu aliyeona Mkutano wake wa Kampeni Bernard Membe tena Mkoani Kwake kabisa(Chimbukoni) huko Lindi na kwa ule Umati 'Kiduchu' alioupata ni kheri tu angejiunga na CHADEMA au kungekuwa na Makubaliano 'Maalum' baina ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ili Yeye ( Membe ) awe Mgombea Mwenza wa Tundu Lissu kidogo kungekuwa na 'Ushindani' wa uhakika wa Kisiasa.

Watanzania siyo Mangumbaru na Mapopoma yaani 'Wamchague' Mtu ambaye hata Kwao tu 'hakubaliki' kivile na wala hana 'Mvuto' ule wa Kisiasa.
Kwa Advocate hashim kwenye ubwabwa vipi?
 
Ili tukuelewe hebu tuweke picha video au hata za kawaida tu. Justification ni muhimu Mkuu. Ila ukweli Upinzani watashindwa asubuhi wsaa 3 kamili tarehe 28 October. Siku hiyo nitakuwa tu home na Walker Label yangu na Kitimoto saaafi.
 
Aliingizwa chaka na wahuni mitandaoni akajaa. Yule hata akisimama na Polepole, mwenezi anashinda asubuhi hata hatujapata morning glory
 
Nadhani Somo langu hilo la 'Kiufafanuzi' limekuingia vyema kabisa na hata wale 'Visokolokwinyo' Wenzako wengine hapa nao wameliewa vile vile.
Hivi mkuu Gentamycine sijakuonaga sana ukiegema mrengu fulani, ila uchaguzi huu naona uko upande wetu ! Rangi ya mboga mboga wanavyotuita.

Kwa hili la Bernard Membe kwa kweli kaingizwa mkenge na Zitto, kwa lengo ACT ipate kunyanyuka na kupata wabunge na madiwani kiasi fulani wapate ruzuku nzuri. Kwenye uraisi huyu jamaa hafai kabisa !! Imagine akiwa FM alikua na majigambo na nyodo usipime ! Hadi simu za mkononi alikua na mpande wa kuzibeba ! Ni mbinafsi usipime, but ndio hivyo tena wacha akaangukie pua hiyo October 28
 
Mbinu walioitumia CCM kwa Lowassa 2015 na ambayo wamecopy na kupaste kwa Membe 2020 imefeli vibaya sana .
 
Mpaka hivi leo nawaza na ninamtafuta huyu Mtu (Mtanzania) aliyemdanganya kabisa wazi wazi Bernard Membe kuwa ana 'Mvuto' wa 'Kisiasa' na kwamba 'akigombea' Urais nchini Tanzania kwa Kushindana na 'Mwamba wa Chato' Rais Dkt. John Magufuli na CCM yake (yangu) anaweza 'Kumshinda' na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kama kuna Mtu aliyeona Mkutano wake wa Kampeni Bernard Membe tena Mkoani Kwake kabisa(Chimbukoni) huko Lindi na kwa ule Umati 'Kiduchu' alioupata ni kheri tu angejiunga na CHADEMA au kungekuwa na Makubaliano 'Maalum' baina ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ili Yeye ( Membe ) awe Mgombea Mwenza wa Tundu Lissu kidogo kungekuwa na 'Ushindani' wa uhakika wa Kisiasa.

Watanzania siyo Mangumbaru na Mapopoma yaani 'Wamchague' Mtu ambaye hata Kwao tu 'hakubaliki' kivile na wala hana 'Mvuto' ule wa Kisiasa.
Yaani hadi hapo wewe mwenyewe ni Ngumbaru na Popoma maana hata Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huijui kuhusiana na Uchaguzi wa Rais wa Tanzania na Makamu wake wanatakiwa kutoka pande zipi za muungano
 
Lowassa alishinda, Magufuli alitangazwa, Hata mwaka huu, Lissu atashinda, Magu Atatangazwa. #NiyeyE2020.
Tunachosubiri ni maamuzi ya Lissu pale ataposhinda na asitangazwe.
Patamu hapo, inabidi mjiandae kisaikolojia maana tunasubiri tarehe ya kuapishwa Magufuli
 
Zungumza na mimi waliinileta hapa duniani hawako humu JF na hawakuhusu.

Naona hutulii kama kuku anayetaka kutaga

Naona 'Dozi' imekuingia vizuri na ndiyo maana safari hii umekuja 'Kinidhamu' na 'Kiupole' sana Kwangu. Hapa Kwangu Utanyooka / Mtanyooka tu.
 
Back
Top Bottom