Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndo ukweliMembe ana perform chini ya kiwango sana
Membe angetakiwa asubiri 2025 agombee ndan ya ccm, nguvu yake iko ndani ya ccm na sio njeMembe hawezi siasa za majukwaani.Sio mtu mwenye maneno mengi,propaganda na fitina zakisiasa tena za upinzani.Kibaya zaidi yuko kwenye chama ambacho ndo kinajijenga.Kosa ambalo membe alilifanya ni kuridhika kuishi ndani ya Ccm na alishindwa kujua kua umaarufu wake ulibebwa na Ccm.alipaswa asome alama za nyakati mapema aanze kujijenga mwenyewe mapema akiwa bado ndani ya chama kama alivyofanya Magu.Magu alikua mjanja kujijenga mwenyewe mapema ndo maana sasa hivi chama ndo kinawajibika kwake badala yeye kuwajibika kwa chama.Kwahiyo umaarufu wa Magu ndio unaokibeba chama,yaani ukimchomoa magu kwenye hicho chama ccm inakua na wakati mgumu.Tofauti na Membe ukimchomoa kwenye vyama nisawa na ndege asiye na manyoya.
Hakuna utawala dunia uliodumu mpaka kristo kwa hiyo acha kujifarijiNi 'Juha / Mpumbavu' tu pekee ndiyo atasema kuwa CCM na Rais Dkt. Magufuli 'hatoshinda' huu Uchaguzi Mkuu. CCM 'itatawala' hadi 'Kristo' akiija.
Ndiyo maana CHADEMA hatukujisumbua sana na huyu ngumbalu anayeitwa jasusi mbobeziUko sahihi tena kwa 100% na Mimi mpaka hii Leo najiuliza tu ni nani 'aliwadanganya' Watanzania kuwa huyu ni 'Jasusi' hatari kwa hapa Tanzania?
Kwa sababu tumeshaanza kupenya Zanzibar inshallah azma yetu itatimia tu.Chadema walihabgaika kumpata maalimu Seif na nkundi lake ili kujiimalisha zanzibar lakini anaonekana kuna agenda au malengo genge la mwalimu seif wanavyo ambapo wameona ndani ya Chadema malengo yao yatakuwa dissolved kama sio udini basi muungano other wise tungetoa chama kikubwa cha siasa kama ccm hivyo ndoto yakuwa na vyama viwili vya siasa ingetimia
Membe huenda asipate kura alizopata Mama mghwiraMbinu nzuri sana imetumika,tayari pande mbili zimevolunteer ili kuizamisha majini ile pande nyingine ya pili,mchezo utaisha hivyo
Membe alituaminisha kuwa kuna makada watano wabobezi from CCM wapo behind the scene, lakn mpak sa hv ni hollaa anafight alone agaist a well organised CCM.
Tatizo la CCM huwa wana umoja Sana linapokuja suala la uchaguz , umoja ni silaha kubwa Sana kweye masuala yyte ya kivita, hii infanya mifumo yote ya nchi inaelekezwa kuifavour CCM , kuanzia vyombo vya usalama, asasi za kiraia , matajiri wakubwa , mashirika binafs na ya uma, katika mazingira haya ni ngumu Sana kutoboa kwa mpinzan.
Kwa sasa mwamko wa upigaji kura ni kama haupo hasa maeneo ya mijini watu kama Wana harakat zao za maisha tofaut na 2015 , hii inaonyesha CCM wanashinda asubhi tuu, ...... Kama ni suala la nyomi hakuna anayeweza vunja rekodi ya Lowassa
Mpaka hivi leo nawaza na ninamtafuta huyu Mtu ( Mtanzania ) aliyemdanganya kabisa wazi wazi Bernard Membe kuwa ana 'Mvuto' wa 'Kisiasa' na kwamba 'akigombea' Urais nchini Tanzania kwa Kushindana na 'Mwamba wa Chato' Rais Dkt. John Magufuli na CCM yake (yangu) anaweza 'Kumshinda' na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kuna Mtu aliyeona Mkutano wake wa Kampeni Bernard Membe tena Mkoani Kwake kabisa(Chimbukoni) huko Lindi na kwa ule Umati 'Kiduchu' alioupata ni kheri tu angejiunga na CHADEMA au kungekuwa na Makubaliano 'Maalum' baina ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ili Yeye ( Membe ) awe Mgombea Mwenza wa Tundu Lissu kidogo kungekuwa na 'Ushindani' wa uhakika wa Kisiasa.
Watanzania siyo Mangumbaru na Mapopoma yaani 'Wamchague' Mtu ambaye hata Kwao tu 'hakubaliki' kivile na wala hana 'Mvuto' ule wa Kisiasa.
Haya mambo ya umati yana faida zake kisiasa lakini ukweli yana danganya sana wanasiasa. kwenye miji na majiji ukichambua umati, unaweza pata waliojiandikisha kupiga kura ni watu wachache sana.
Umati hai ni umati wa vijijini.
Huyu jamaa ni kama vishankupe fulani vya baani. ChildishHujui hata nani anakuwa mgombea mwenza?
2025 kwa CCM atawekwa muislam ( anaweza kutokea Zanzibar pis akiwepo ).Membe angetakiwa asubiri 2025 agombee ndan ya ccm, nguvu yake iko ndani ya ccm na sio nje
Hilo ni kweli mkuu na kuna wengine wanapenda kukusanyika sehemu yenye watu wengi na wengine wanachukulia ni sehemu ya kwenda kujichanganya wengine ngoja na mimi nikashangae maana sina kazi ya kufanya.Umati unadanganya wagombea. Pale wengine ni wezi wa simu, wengine pale ni sehemu za kupata wachumba, wengine wanakwenda kushangaashangaa kila wanachokiona.
Ndiyo maana CHADEMA hatukujisumbua sana na huyu ngumbalu anayeitwa jasusi mbobezi