HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,380
Oliver N'goma, kuna ngoma yake inaitwa Nge sijui jina nimepatia, hii ngoma niliwahi irudia yenyewe tu π nilitoka mbeya hadi Dar bila kubadili, siku nzima
Oliver N'goma, kuna ngoma yake inaitwa Nge sijui jina nimepatia, hii ngoma niliwahi irudia yenyewe tu π nilitoka mbeya hadi Dar bila kubadili, siku nzima
anaanza Oliver Ngoma, anafuata Monique Seka.I salute you kinsmen.
Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana .
Sasa nimefuatilia sana nikaja kugundua huyu bwana Oliver Ngoma hakuna mpaka ambaye atavunja record zake kwenye zouk ..hakuna
Album yake ya Bane 1992 kama sikosei ilivunja record nyingi kwa kuuza sana Africa, hakika huyu mtu alikuwa na kipaji sana ..
Enjoy good music
View attachment 3372017
View attachment 3372019
View attachment 3372021
View attachment 3372021
View attachment 3372026
View attachment 3372028
View attachment 3372027
View attachment 3372026
View attachment 3372021
Kwa sasa hakuna au wapo ila hawasikiki sanaOliver ni habari nyingine mkuu naona ndo anaongoza
hivi saivi hamna waimba zouk waliobaki au baada ya kina seka zouk haiiimbwi tena????
Hilo nakubali ila soukoss ni muziki wa qina gani huo?O. Ngoma ndiye Mfalme wa miondoko ya zouk na soukoss
Dah kwani hajawahi kuja Tanzania kufanya show?Oliver Ng'oma did the best aseeh Kuna Adia, bane na nyingn nimesahau huwa nashiba ikiwa sijala
Kipindi hicho miaka ya 1990 ndo nimekutana na ndege pale kempisiki hotel akiwa mwanafunzi wa mlimani kipindi hiko kwako ndege wa komwe secretarybird
Basi nimekumbuka ile ngoma yake inayoitwa 'Lusa' ambayo hata bro Evelyn Salt aliipenda kuliko hata demu wake.Oliver Ng'oma did the best aseeh Kuna Adia, bane na nyingn nimesahau huwa nashiba ikiwa sijala
Kipindi hicho miaka ya 1990 ndo nimekutana na ndege pale kempisiki hotel akiwa mwanafunzi wa mlimani kipindi hiko kwako ndege wa komwe secretarybird
Mkuu, jamaa ameamua kutugusa mioyo yetu na kutukumbusha mbali sana.Oliver N'goma, kuna ngoma yake inaitwa Nge sijui jina nimepatia, hii ngoma niliwahi irudia yenyewe tu π nilitoka mbeya hadi Dar bila kubadili, siku nzima
Nge zouk..πOliver N'goma, kuna ngoma yake inaitwa Nge sijui jina nimepatia, hii ngoma niliwahi irudia yenyewe tu π nilitoka mbeya hadi Dar bila kubadili, siku nzima
Ongezea "Yaye Demin"Kamsikilize Monique seka, Ngoma Kama okaman, missounwa, adeba.
.
Mbn kipindi me na wewe tupo Dom Evelyn alikuwa anatafuta mwanaume mtu mzima ?Basi nimekumbuka ile ngoma yake inayoitwa 'Lusa' ambayo hata bro Evelyn Salt aliipenda kuliko hata demu wake.
We acha tu mkuu!
Madilu hampati Ferre japokuwa ni vizazi tofautiMkuu unamjua madilu system?
Evelyn Salt njoo ujitetee kaka yangu.Mbn kipindi me na wewe tupo Dom Evelyn alikuwa anatafuta mwanaume mtu mzima ?
Nirudi kulalaEvelyn Salt njoo ujitetee kaka yangu.
Hebu lala kwanza kijana.Nirudi kulala
Madilu hatariMkuu unamjua madilu system?