Kwa upande wa Rhumba na Zouk kwa wanawake na wanaume, kuna wa kumfikia Oliver Ngoma???

Nyie nyie tuachaneni na mambo ya jinsia MONIQUE SEKA ni mashine nyngne yule mwanamama kwenye Zouk then OLIVER.
Kwa upande wa Rhumba FRANCO, MADILU, MBILIA BEL.🙌🙌
 
Halafu Kuna wimbo wake unaitwa Alphonsine, ulikuwa moto sana.
Huo wimbo kule mwishoni mwishoni kuna "kile kinanda kinapigwa huku yeye akichombeza "sho...sho...sho..ngalula...mama ngalula" sio mchezo. Ndio wimbo wangu bora kabisa toka kwake. Naupenda mno Aisee. Mwenyezi AmrehemuMwamba.
 
Nyie nyie tuachaneni na mambo ya jinsia MONIQUE SEKA ni mashine nyngne yule mwanamama kwenye Zouk then OLIVER.
Kwa upande wa Rhumba FRANCO, MADILU, MBILIA BEL.🙌🙌
Tangu lini akaimba Rhumba Oliver?

Oliver ni mfalme wa zouk Monique hafiki kwa Oliver kabisa hata ukianza kuhesabu hits Monique Hafiki kwa huyo mwamba
 
Jamaa huyo Manu Lima ni producer mmoja mwamba sana. M_Cape Verde aliyezaliwa Senegal. Alikuwa na chemistry bora sana na Oliver Ngoma , ingawa baadae alirudi tena kufanya naye kazi
Chanzo cha ugomvi kilikuwa nini? Maana naskia hata kina Monique nao walikuwa wanafanya naye kazi huyo jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…