Kwa upande wa Rhumba na Zouk kwa wanawake na wanaume, kuna wa kumfikia Oliver Ngoma???

Moja ya miamba iliyotuheshimisha wa Africa.
Shukrani kwa kuleta hizi kumbukumbu mkuu hakika atakumbukwa vizazi na vizazi.
 
Mfalme wa rhumba ni mmoja tuu, Fally Ipupa Nsimba a .k.a James Bond of Africa,
Yule mtu anajua na kujua tena aah hapa nasikiliza Le Temps...
 
Nimepakua sote yelooo.
 
Oliver N'goma, kuna ngoma yake inaitwa Nge sijui jina nimepatia, hii ngoma niliwahi irudia yenyewe tu 🔂 nilitoka mbeya hadi Dar bila kubadili, siku nzima
Uko kama mimi nikipenda Wimbo huwa sichoki kuusikiliza hata siku nzima.
 
da kuna nyimbo kama lusa huu saiz unapgiwa sana kwenye sherehe kama harusi.
Kuna huyu monique seka nyimbo kama yelele,yaye dlemin,misounwa,chlein koe da moyo unasisimka kwkwel oliver ngoma na moinika seka nyimbo zao zinaish
 
Kwa zouk Oliver Ngoma anaongoza kisha anafuata Monique Seka ila kwa upande wa rhumba hakuna wa kumfikia Ferre Gola 'le padre'

Yani huyo amzidi Madilu System?

Madilu System slikuwa ni habari nyingine kwa mziki wa rhumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…